Siku nilipohisi kupata VVU

Siku nilipohisi kupata VVU

Miezi sita hivi nilikutana na mrembo wa telegram huyu mrembo nilimpata baada ya connection kuona kwenye uzi fulani wa machimbo na bei zake, ile pisi ilikuwa ya ukweli na nikajisemea nanunua hii kwa mara ya miwhso sinunui tena, Basi nikaenda tabata mawenzi kuonana nayo nilikuwa na vipimo vya UKIMWI rapid test ila cha ajabu nilisahu kubeba maji yake na vipini vya kujitoboa, nilipomwambia yule mrembo sina vipini na maji akasema haina shida yeye anaweza hata kujing'ata ili tupime, mie kwa ujinga wangu nikajisemea mtu mwenye ngoma hawezi kuwa na commitment kubwa hivi ya kujingata, nikavaa kinga zoezi likaenda, baada kama ya dakika 10 kinga ikawa imebust, nahisi sababu ya mafuta ya nazi tuliyopaka nikabadiri kinga tukamalizia.

Kasheshe ikaja baada ya wiki tatu nikavimbaa tonsil na vidonda kooni kugoogle naambi'wa ni dalili ya infection either bacteria au virus nikikumbuka nilichofanya wiki mbili zilizopita hapo nakosa amani kujipima naogopa basi ikabidi nimcheki tena yule mrembo nidanganye kama nataka onana naye ili nimpime, nahisi alikuwa ashasahau kama tumewahi onana nikampima majibu yapo negative, nikajipima na mie negative ishu nikawa najiuliza why nimevimba tonses na vidonda kooni na kifua kikavu hakiishi.

Siku nimeenda phamacy kununua amoxylin kwa ajiri ya tonses nikakuta mzani kupima kilo 2 zimepotea nikajua hapa kuna shida ila vipimo vinasoma negative nikaingia google , wakasema kuna watu mwili unachelewa kutengeneza antibody wa HIV hivyo ni vigumu kugundulika mapema kama ni positive mpaka miezi 3/6 na wakati huo huo anaweza kuambikiza wengine vvu, nikasema hapa mie na yule demu tupo kwenye hili kundi inawezekana tumeambukizana ila seroconversion haijatokea bado, nikasema hapa nasubiri kiroho safi miezi 6 kupata positive yangu.

Hatimaye miezi sita imepita nipo oky jamani tuzidi kuchukua tahadhari , UKIMWI bado ni kitu kibaya nina rafiki zangu watatu walishawahi nisimulia kadhia ya ARV nikasema ina maana na mimi naelekea huko kunywa dawa zitakazonisumbua vile?, pia tuzingatie matumizi sahihi ya kondomu haya mafuta ya nazi usijaribu kupaka kondomu inapasuka kiurahisi sana.

Kama humwamini mwanamke/mwanaume usitembee naye kabisa ajari zinatokea.

Ah bro wacha kutisha watu bwana mbona ngoma watu wanaishi nayo miaka ishiri na kuendelea tena bila kutumia arvs....
 
Bila kutumia arvs ni mbaya sana, kinga yako itaharibiea mpaka utakapo kija kuanza arvs unaweza kuwa unaugua ukimwi tayari, kwa sasa unashauriwa kuanza arvs pindi unapogundulika jna maambukizi.
 
Aisee ww bado mdogo sana.
Sijui hata Kwanini umenunua malaya?.

Na Hapo hujauza mechi unalalamika hivyo.

kuna wana wanalala na malaya kavu kavu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawalalamiki.
😃😃😃😃daah, watu Wana roho za ki Al shabab kweli
 
Miezi sita hivi nilikutana na mrembo wa telegram huyu mrembo nilimpata baada ya connection kuona kwenye uzi fulani wa machimbo na bei zake, ile pisi ilikuwa ya ukweli na nikajisemea nanunua hii kwa mara ya miwhso sinunui tena, Basi nikaenda tabata mawenzi kuonana nayo nilikuwa na vipimo vya UKIMWI rapid test ila cha ajabu nilisahu kubeba maji yake na vipini vya kujitoboa, nilipomwambia yule mrembo sina vipini na maji akasema haina shida yeye anaweza hata kujing'ata ili tupime, mie kwa ujinga wangu nikajisemea mtu mwenye ngoma hawezi kuwa na commitment kubwa hivi ya kujingata, nikavaa kinga zoezi likaenda, baada kama ya dakika 10 kinga ikawa imebust, nahisi sababu ya mafuta ya nazi tuliyopaka nikabadiri kinga tukamalizia.

Kasheshe ikaja baada ya wiki tatu nikavimbaa tonsil na vidonda kooni kugoogle naambi'wa ni dalili ya infection either bacteria au virus nikikumbuka nilichofanya wiki mbili zilizopita hapo nakosa amani kujipima naogopa basi ikabidi nimcheki tena yule mrembo nidanganye kama nataka onana naye ili nimpime, nahisi alikuwa ashasahau kama tumewahi onana nikampima majibu yapo negative, nikajipima na mie negative ishu nikawa najiuliza why nimevimba tonses na vidonda kooni na kifua kikavu hakiishi.

Siku nimeenda phamacy kununua amoxylin kwa ajiri ya tonses nikakuta mzani kupima kilo 2 zimepotea nikajua hapa kuna shida ila vipimo vinasoma negative nikaingia google , wakasema kuna watu mwili unachelewa kutengeneza antibody wa HIV hivyo ni vigumu kugundulika mapema kama ni positive mpaka miezi 3/6 na wakati huo huo anaweza kuambikiza wengine vvu, nikasema hapa mie na yule demu tupo kwenye hili kundi inawezekana tumeambukizana ila seroconversion haijatokea bado, nikasema hapa nasubiri kiroho safi miezi 6 kupata positive yangu.

Hatimaye miezi sita imepita nipo oky jamani tuzidi kuchukua tahadhari , UKIMWI bado ni kitu kibaya nina rafiki zangu watatu walishawahi nisimulia kadhia ya ARV nikasema ina maana na mimi naelekea huko kunywa dawa zitakazonisumbua vile?, pia tuzingatie matumizi sahihi ya kondomu haya mafuta ya nazi usijaribu kupaka kondomu inapasuka kiurahisi sana.

Kama humwamini mwanamke/mwanaume usitembee naye kabisa ajari zinatokea.
Hukuwa tu na elimu kuhusu ukimwi,acha ngono zembe
 
Aisee ww bado mdogo sana.
Sijui hata Kwanini umenunua malaya?.

Na Hapo hujauza mechi unalalamika hivyo.

kuna wana wanalala na malaya kavu kavu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawalalamiki.
Inatakiwa ukifika umri gani ndo uanze nunua malaya?
 
Back
Top Bottom