Siku nilipohisi kupata VVU

Siku nilipohisi kupata VVU

nilifuta mkui miezi 6 sasa ila anaitea todaybaby kuna group linaitea 255mtafte kasearch utamuona bila shaka.
Dah pole sana ila shalet wewe si una mke? Iweje ukanuua malaya? Hivi utwo tu gegedo twenu tuna matatizo gani? Embu nambie ndani ya hiyo miezi 6 ulikuwa na hali gani?
 
kweli mkuu na mke ila hii pisi ilikuwa ya viwango sana, ngozi light skin fulani nikasema nanunua mara ya mwisho sinunui tena, kusema kweli sijawahi jutia kama nilivyojutia kutembea na huyu malaya na sidhani kama nitarudia muda wowote karibuni.
 
na wewe nilikuwa nakupenda sana ukanikataa unaona nanusurika kuambukizwa VVU.
 
Acha matusi,mtoto wa kike staha.Kukaa nyuma ya keyboard haipaswi kutuondolea heshima zetu.
Hiyo heshima hata siitaki maana haitonisaidia chochote.naona umemind wakati nimecoment kitu cha kawaida. Very sorry haitokokaa itokee nicoment kwenye comments zako.
 
Hiyo sentensi ya mwisho umeharibu,yaani katika logic haipo sawa.Kilogic haipo sawa kwa sababu kwani usipocomment kwenye comment zangu nitakosa nini?Nitakosa chakula cha mchana au cha jioni?Nitashindwa kutembea?
 
Kama humwamini demu na huna kinga au una mashaka naye, piga bao moja la round moja, hili bao huwa lina wahi sana kutoka, ukimaliza vaa nguo zako sepa, usijaribu kwenda round ya pili.
 
na wewe nilikuwa nakupenda sana ukanikataa unaona nanusurika kuambukizwa VVU.
Ahhaaa kama nakuona ulivyopima hospital 99 huamini majibu😂😂 zipi hutoifungua tena ovyo si ndio??
 
kweli mkuu na mke ila hii pisi ilikuwa ya viwango sana, ngozi light skin fulani nikasema nanunua mara ya mwisho sinunui tena, kusema kweli sijawahi jutia kama nilivyojutia kutembea na huyu malaya na sidhani kama nitarudia muda wowote karibuni.
😅😅😅vip ukikutana pisi kali tena kuliko ile? Nachojua vichwa vyenu vya chini havinaga adabu, vip hutoapa kufanya kwa mara ya mwisho?
 
Back
Top Bottom