Ila hio sio ishu ya wewe kujisikia vibaya, nahisi mimi ndio niliojisikia vibaya kwa kilichinikuta kuliko wewe.
Mwaka 2008 nimetoka na bimkubwa kariakoo nampeleka kinondoni, kufika magomeni kwenye foleni alikuja kijana anauza Cd za movie halafu bahati mbaya zaidi alikua amesimama kwenye dirisha la bimkubwa anatuonyesha cd zake, mimi kwa ustaarabu kabisa nikamwambia asante, yule kijana siku ile sijui alikua amevuta bange ya wapi banaa, akachomoa cd ya ngono halafu kasha lake kwa mbele binti amepigwa mashine kwa nyuma halafu mashine nyingine iko mdomoni, daaahhh mimi sura pakuiweka sina nikapandisha kioo, nakumbuka mpaka tunafika home hakuna mtu aliefungua mdomo wake.
Hakuna siku nikiikumbuka hua nafedheheka kuliko siku hio.