Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Acha utani ndugu kwanza neno tu Ukimwi lina tisha.Kifo wap. Kisukari, pressure, homa ya ini na saratani vinaua zaidi ya ukimwi
Eee hilo gongwa hapana yaani nikisikia HIV naona sanda na jeneza hivyo hapoAcha uoga wewe, mbona nzi anafia kwenye kidonda...[emoji849]
Ebu tusitishane bana...
Huyo hakufuata masharti tu. Maana anayefuata masharti unaweza usimtambue kwa macho. Wewe nenda ocean road uone kama hujazimia hapo hapo.Acha utani ndugu kwanza neno tu Ukimwi lina tisha.
Niliwah shuhudia Mgonjwa wa ukimwi akitahabika toka siku hiyo nikiwa fm2 Hadi leo 10 years sijawahi piga shoo bila condm, Hilo gonjwa lina tisha sikia tu kwa jirani
Wewe umewahi kwenda ?Huyo hakufuata masharti tu. Maana anayefuata masharti unaweza usimtambue kwa macho. Wewe nenda ocean road uone kama hujazimia hapo hapo.
Ndio.
Kumuomba tu Mungu tiba kamili ipatikane na kuepushia watu mateso wanayopitia.
Kifo kipotu aiseeee...Eee hilo gongwa hapana yaani nikisikia HIV naona sanda na jeneza hivyo hapo
Kwani ukimwi ni ugonjwa?Kumuomba tu Mungu tiba kamili ipatikane na kuepushia watu mateso wanayopitia.
π π πMkuu, ebu naomba namba ya huyo dada...[emoji39]
sikuwahi kumuuliza aisee, hii huwa wanafanya siri hasa kama alikuta matokeo mabayaVipi rafiki yako alipata ujasiri wa kwenda kupima?
hata hakua anajua kama wale ni jamaa zakeHalafu utakuta jamaa alitongoza huyo mrembo akatoswa, alivyowaona mabwana zake akaamua akitie moto kibanda cha kiasi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787]ππππIla hio sio ishu ya wewe kujisikia vibaya, nahisi mimi ndio niliojisikia vibaya kwa kilichinikuta kuliko wewe.
Mwaka 2008 nimetoka na bimkubwa kariakoo nampeleka kinondoni, kufika magomeni kwenye foleni alikuja kijana anauza Cd za movie halafu bahati mbaya zaidi alikua amesimama kwenye dirisha la bimkubwa anatuonyesha cd zake, mimi kwa ustaarabu kabisa nikamwambia asante, yule kijana siku ile sijui alikua amevuta bange ya wapi banaa, akachomoa cd ya ngono halafu kasha lake kwa mbele binti amepigwa mashine kwa nyuma halafu mashine nyingine iko mdomoni, daaahhh mimi sura pakuiweka sina nikapandisha kioo, nakumbuka mpaka tunafika home hakuna mtu aliefungua mdomo wake.
Hakuna siku nikiikumbuka hua nafedheheka kuliko siku hio.
Ni zaidi ya fedheha, lile tukio hua sijui kwa nini halifutiki kichwani kwangu kabisa.[emoji1787][emoji1787]ππππ
Huo sio ukimwi Kaka ni kalukimwi.
Ukimwi wa miaka ya 87 kuja mpaka 95 miezi mitatu tayari nywele Ni Kama za paka, vidonda mdomoni, kuhara usiseme na kuvaa makoti na majaketi. In short ndani ya miezi mitano lazima mtu unaenea kwenye kiroba.