Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

SEHEMU YA 04
******************************************
SMS ya fatmah ilinishtua sana na ilisomeka hivi "hello mpenzi wangu naona umeiona huyo zawadi hapo niliyokuwekea kwenye huo mto mwekundu hiyo hela itakusaidia katika shughuli zako nakupenda sana ila usije ukaitumia kwenye mambo yafuatayo ulevi hau starehe za kuhonga wanawake byee",
Mhhh Wewe umesema ni Fundi lakini ulienda kununua kitanda cha inch 4 kwa 5 ......Fundi maiko kweli muda mwingine hata waandishi wa habari wanafanya tafiti kabla ya kuandika
 
Sawa uliona wapi mganga anajiganga? Mimi ni fundi wa nyumba mkuu na una hela yaani ungaike kutengeneza kitanda ww unaijua hela vzr mkuu?

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Napo uliza hili swali ucjiskoe vibaya mkuu ila hicho kitanda cha futi 4 kwa 5 kipoje mkuu kama hutojali fanya mpango hata ka picha binafsi cjawahi ona
 
Back
Top Bottom