Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala niliyokuwa alikuwa ni mzuri amevaa kiostadhat sasa kutokana na ufinyu wa siti hakupata nafasi ya kukaa sasa sijui ni nini kilinipata uwa sina
SEHEMU YA PILI **********
*****************************
Wakati fatmah ameniambia kuwa anakaa kwa dadaake sakina jibu lilinishangaza sana ikumbukwe usiku wa jana nilimuota fatmah kaja kwangu usiku na aliniambia anakaa kwa dadaake ambae ni msusi sakina, basi nikamwambia leo jioni uje kwangu akasema usijali nitakuja jioni leo utafurahi uwepo wangu basi na mimi nikacheka nikwambia basi baadae ukianza kuja niambie basi baada ya maongezi kuisha simu ikawa imekatwa,

********************************
Mawazo yalinijaa juu ya ujio wa fatmah nilikuwa nawaza leo huyu fatmah mwanamke mzuri eti anakuja kwangu na mimi leo wapangaji wenzangu wataniona kidume ukizingatia toka niamie chanika hapo ninapokaa sijawahi kuleta demu hivyo lazima washangae basi akili ikaniambia safisha mazingira gheto liwe safi maana demu kaniambia jioni anakuja basi nilifanya sana usafi wa kufa mtu osha mivyombo yote michafu baada ya kama lisaa limoja chumba kikawa kimekaa sawa wakati nafanya usafi kuna mke wa mtu mpangaji mwenzangu maana pale tulikuwa tumepanga wapangaji wanne wote watatu waliluwa na wake zao kasoro mimi nilieonekana muhuni tu nipo nipo sasa mama jabiri ni mke wa bro hapo kuna jamaa tulikuwa tumezoeana sana sasa wakati nafanya usafi aliniambia leo naona umeamua kufanya usafi aisee kuna ujio wa mgeni nini?[emoji1]

Nikamwambia hapana nimeamua tu basi uwa tunataniana sana na mama jabir basi baaadae ikabidi niende zangu kitaa nikanunua mchele nikanunua mazaga zaga kibao na hapo nilikuwa nina mastress yangu ya kulikosa deal siku ile la ufundi kama ulisoma sehemu ya kwanza utajua nini nazungumzia basi nikawa najipa matumaini leo mtoto fatmah anakuja atanipoza stress zangu za leo basi kama uchawi masaa siku hiyo yalikuwa yanakimbia sana muda si muda nilikuwa nimejipumzisha kdg nilikuja kushtuka saa kumi ishafika nikasema hapa ngoja niende kwa mshikaji wangu alikuwa ana duka pale uwa naenda kucheza drafti ili nipunguze punguze masaa ya kumpokea fetty ambaea alinipa miadi anakuja jioni ya saa moja nilipofika kwa mussa pale dukani nikakuta watu wanacheza drafti ikabidi na mimi nianze kujumuika nao mida ilienda sana atimae nilishtushwa na mlio wa simu uliita buuuuuu!!!!°buuuuuuu!!!!

Ulikuwa mlio wasimu yangu ulinishtua wakati nilipokuwa naendelea kucheza drafti nikaitoa simu nikaona ni fetty anapiga nikapokea akasema hello mimi ndio nakuja sasa ww si upo mtaa x uliponielekeza nikamwambia tukutane dukani kwa mussa kama unafahamu pale kwa mussa ni duka maarufu sana kipindi hicho nilipokuwa chanika mtaa x akasema sawa nitakuwa naulizia ulizia hadi nitafika hapo sawa sawa akakata simu kuna jamaa mmoja alikuwa yupo pale kama unavyofahamu mchezo wa drafti uwa unajaza watazamaji wengi akadakia naona shemeji amekupigia[emoji1] nikwambia kawaida bro basi nikawa naendelea na drafi kama dk 10 nashangaa naguswa bega na mkono mlaini ulionekana wa kike hapo nimezama kwenye drafti hello nimefika nikashtuka kugeuka namuona fetty washkaji waliokuwa pale wote wakawa wanamtizama yule dada mzuri aliekuja kumshika bega mkaka ambae yupo yupo mtaani tu ni nani? Nadhani walikuwa wanajiuliza hivyo wooow ikabidi niache drafti na kuwaaga mashikaji pale basi twende nikamshika mkono na kuondoka na fetty pale washkaji walikuwa wanapiga miruzi tu pyuuuu pyuui aisee ww jamaa una zari mtoto mzuri hivyo umemtoa wapi ilisikika sauti ya jamaa flani aliekuwa ana umri wa makamo pale nikacheka huku naondoka na fetty.

Nikawa namuuliza aisee mbona umefika mapema ssna na umenisurprise sana akasema kawaida niliulizia watu dukani kwa mussa ndio nimeletwa hadi hapo na mtoto sema pia unashangaa mimi bado nakumbuka kwa sura nikasema daah ww noma basi tulitembea hatua chache nikawa nimefika kwangu kulikuwa na wamama pale nje wanasukana walikuwa wanishangaa huku mama jabir akinitania aisee naona naona fetty aliwasalimia kwa heshima sana tukawa tumeingia ndani fetty akasema wooow hapa ndio unapoishi unaonekana msafi sana kauli yake ilinichekesha moyoni kwani angejua mimi uwa napanga vitu ovyo ovyo kufupisha stori siku hiyo nililalaa na fetty ndio siku ambayo mahusiano yangu mimi na mwanamke fatmah ambae ni jini bila kujua yalipoaribu maisha yangu
Itandelea wakuu leo mchana kaa ujue niliwezaje kumjua kama fatmah ni jini?

Utajua mambo mazito niliyopitia pindi tu nilipoanza mahusiano na fatmah ambae ni jini ndugu zangu hii ni simulizi ya ukweli ya maisha yangu

MUENDELEZO Soma Siku niliyokutana na jini kwenye daladala
 
SEHEMU YA PILI **********
*****************************
Wakati fatmah ameniambia kuwa anakaa kwa dadaake sakina jibu lilinishangaza sana ikumbukwe usiku wa jana nilimuota fatmah kaja kwangu usiku na aliniambia anakaa kwa dadaake ambae ni msusi sakina, basi nikamwambia leo jioni uje kwangu akasema usijali nitakuja jioni leo utafurahi uwepo wangu basi na mimi nikacheka nikwambia basi baadae ukianza kuja niambie basi baada ya maongezi kuisha simu ikawa imekatwa,
********************************
Mawazo yalinijaa juu ya ujio wa fatmah nilikuwa nawaza leo huyu fatmah mwanamke mzuri eti anakuja kwangu na mimi leo wapangaji wenzangu wataniona kidume ukizingatia toka niamie chanika hapo ninapokaa sijawahi kuleta demu hivyo lazima washangae basi akili ikaniambia safisha mazingira gheto liwe safi maana demu kaniambia jioni anakuja basi nilifanya sana usafi wa kufa mtu osha mivyombo yote michafu baada ya kama lisaa limoja chumba kikawa kimekaa sawa wakati nafanya usafi kuna mke wa mtu mpangaji mwenzangu maana pale tulikuwa tumepanga wapangaji wanne wote watatu waliluwa na wake zao kasoro mimi nilieonekana muhuni tu nipo nipo sasa mama jabiri ni mke wa bro hapo kuna jamaa tulikuwa tumezoeana sana sasa wakati nafanya usafi aliniambia leo naona umeamua kufanya usafi aisee kuna ujio wa mgeni nini?[emoji1]
Nikamwambia hapana nimeamua tu basi uwa tunataniana sana na mama jabir basi baaadae ikabidi niende zangu kitaa nikanunua mchele nikanunua mazaga zaga kibao na hapo nilikuwa nina mastress yangu ya kulikosa deal siku ile la ufundi kama ulisoma sehemu ya kwanza utajua nini nazungumzia basi nikawa najipa matumaini leo mtoto fatmah anakuja atanipoza stress zangu za leo basi kama uchawi masaa siku hiyo yalikuwa yanakimbia sana muda si muda nilikuwa nimejipumzisha kdg nilikuja kushtuka saa kumi ishafika nikasema hapa ngoja niende kwa mshikaji wangu alikuwa ana duka pale uwa naenda kucheza drafti ili nipunguze punguze masaa ya kumpokea fetty ambaea alinipa miadi anakuja jioni ya saa moja nilipofika kwa mussa pale dukani nikakuta watu wanacheza drafti ikabidi na mimi nianze kujumuika nao mida ilienda sana atimae nilishtushwa na mlio wa simu uliita buuuuuu!!!!°buuuuuuu!!!! Ulikuwa mlio wasimu yangu ulinishtua wakati nilipokuwa naendelea kucheza drafti nikaitoa simu nikaona ni fetty anapiga nikapokea akasema hello mimi ndio nakuja sasa ww si upo mtaa x uliponielekeza nikamwambia tukutane dukani kwa mussa kama unafahamu pale kwa mussa ni duka maarufu sana kipindi hicho nilipokuwa chanika mtaa x akasema sawa nitakuwa naulizia ulizia hadi nitafika hapo sawa sawa akakata simu kuna jamaa mmoja alikuwa yupo pale kama unavyofahamu mchezo wa drafti uwa unajaza watazamaji wengi akadakia naona shemeji amekupigia[emoji1] nikwambia kawaida bro basi nikawa naendelea na drafi kama dk 10 nashangaa naguswa bega na mkono mlaini ulionekana wa kike hapo nimezama kwenye drafti hello nimefika nikashtuka kugeuka namuona fetty washkaji waliokuwa pale wote wakawa wanamtizama yule dada mzuri aliekuja kumshika bega mkaka ambae yupo yupo mtaani tu ni nani? Nadhani walikuwa wanajiuliza hivyo wooow ikabidi niache drafti na kuwaaga mashikaji pale basi twende nikamshika mkono na kuondoka na fetty pale washkaji walikuwa wanapiga miruzi tu pyuuuu pyuui aisee ww jamaa una zari mtoto mzuri hivyo umemtoa wapi ilisikika sauti ya jamaa flani aliekuwa ana umri wa makamo pale nikacheka huku naondoka na fetty nikawa namuuliza aisee mbona umefika mapema ssna na umenisurprise sana akasema kawaida niliulizia watu dukani kwa mussa ndio nimeletwa hadi hapo na mtoto sema pia unashangaa mimi bado nakumbuka kwa sura nikasema daah ww noma basi tulitembea hatua chache nikawa nimefika kwangu kulikuwa na wamama pale nje wanasukana walikuwa wanishangaa huku mama jabir akinitania aisee naona naona fetty aliwasalimia kwa heshima sana tukawa tumeingia ndani fetty akasema wooow hapa ndio unapoishi unaonekana msafi sana kauli yake ilinichekesha moyoni kwani angejua mimi uwa napanga vitu ovyo ovyo kufupisha stori siku hiyo nililalaa na fetty ndio siku ambayo mahusiano yangu mimi na mwanamke fatmah ambae ni jini bila kujua yalipoaribu maisha yangu
Itandelea wakuu leo mchana kaa ujue niliwezaje kumjua kama fatmah ni jini?
Utajua mambo mazito niliyopitia pindi tu nilipoanza mahusiano na fatmah ambae ni jini ndugu zangu hii ni simulizi ya ukweli ya maisha yangu
Kabsa mkuuu......tunasubiri
 
Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala niliyokuwa alikuwa ni mzuri amevaa kiostadhat sasa kutokana na ufinyu wa siti hakupata nafasi ya kukaa sasa sijui ni nini kilinipata uwa sina
Shusha vitu
 
Back
Top Bottom