Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Hahaaaaa, nimekuelewa mkuu[emoji1787][emoji1787] mkuu tuachane nayo hayo hawakawii kususa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, nimekuelewa mkuu[emoji1787][emoji1787] mkuu tuachane nayo hayo hawakawii kususa
Wewe jamaa ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa sijaona ubaya wowote wa jini Fetty ambao huyo mpuuzi Salome amekuwa akisema eti upo kwenye hatari kubwa, hatari ipi?
Jini kakupa kila kitu, kakupa msingi mkubwa wa biashara, kakufanya unaishi Masaki, umejengea wazazi nyumba na unasaidia ndugu, na ukitaka game unapewa on time, sasa hapo ubaya wake uko wapi? Wewe ndiyo chanzo cha ubaya mana alikupa masharti mepesi lkn tamaa ya kipuuzi imekuharibia.
Alafu huyo Salome ndiyo chanzo cha kuferi kwako maisha amini kwamba.
Soma hadithi acha mambo mengi,hii ni burudani tu.Mwaka gani hii habari ilirushwa TBC? Pia huo mwaka mmoja uliokuwa unateswa na Fetty ndugu zako au Salome alikuwa wapi akashindwa kukufuatilia? Ok ngoja tuendelee kufurahia story yako.
Si ndio wanavyopenda tuwasumbue sumbueHamna cha majukumu wala nini yeye ndio kashaamua hivi.
Afu huyu jini mbona peace sana mwamba ndio anazingua yan masharti simpo kabisa asichepuke tu..Si ndio wanavyopenda tuwasumbue sumbue
Mkuu we ungeweza kweli kutochepukaAfu huyu jini mbona peace sana mwamba ndio anazingua yan masharti simpo kabisa asichepuke tu..
Watu wanakunya vichani huko hawalali chini wamekatazwa kuvaa vizuri, we V8 Umepewa umebwela...
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28] pagumu kdg ila ka unavojua hakuna pesa inayokuja kirahisi lazma upitie magumu ili uwe tajiri...Mkuu we ungeweza kweli kutochepuka
Hahahaha umeona sasa ilivyo ngumu kwahiyo usimlaumu[emoji28][emoji28] pagumu kdg ila ka unavojua hakuna pesa inayokuja kirahisi lazma upitie magumu ili uwe tajiri...
Sa upewe tu hela burebure haipo
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Soma stori vzr sio unakurupuka kaka dadaMwaka gani hii habari ilirushwa TBC? Pia huo mwaka mmoja uliokuwa unateswa na Fetty ndugu zako au Salome alikuwa wapi akashindwa kukufuatilia? Ok ngoja tuendelee kufurahia story yako.
Mwaambie asome stori toka mwanzo sio anakurupuka nilisema nilikas ndani mwaka mmoja mule kwa fetty nilipotoka mule nitolewa kimazingira nikajikuta nipo beach ndio watu walikiwa wananishangaa pale coco kutokana na manywele yangu ns nilivyokuwa kama msukule ndio waandishi wa tbc walitwa sasa nashangaa huyo dada kakakurupuka[emoji1787][emoji1787] mkuu tuachane nayo hayo hawakawii kususa
Asome vzr mbona kila kitu kipo wazi ameanzia stori mbele hajasoma vya nyumaSoma hadithi acha mambo mengi,hii ni burudani tu.
Najua unajiuliza maswali mengi ila we enjoy story
Pamoja sana mkuu. Nakuona kwenye profile picture hapo. Umependeza mkuu.Soma hadithi acha mambo mengi,hii ni burudani tu.
Najua unajiuliza maswali mengi ila we enjoy story
Haya mkuu. Nimekuelewa baba Fetty. Lete mambo tuendelee kuenjoy.Soma stori vzr sio unakurupuka kaka dada
Kuna vitu utakuta watu wanasimulia vimewakuta,lakini mwingine hujawahi hata kuhisi kuvionaSijui kwa nini sijawahi kuamini katika story kama hizi zinazohusu hao viumbe... Huwa naona ni story za kufikirika tu.
Huu utomaso utakuja kuniua siku.[emoji848][emoji848][emoji848]
Nimekumiss pia mkuuShunie nimekumiss