Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Mpaka sasa sijaona ubaya wowote wa jini Fetty ambao huyo mpuuzi Salome amekuwa akisema eti upo kwenye hatari kubwa, hatari ipi?

Jini kakupa kila kitu, kakupa msingi mkubwa wa biashara, kakufanya unaishi Masaki, umejengea wazazi nyumba na unasaidia ndugu, na ukitaka game unapewa on time, sasa hapo ubaya wake uko wapi? Wewe ndiyo chanzo cha ubaya mana alikupa masharti mepesi lkn tamaa ya kipuuzi imekuharibia.

Alafu huyo Salome ndiyo chanzo cha kuferi kwako maisha amini kwamba.
Wewe jamaa ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka gani hii habari ilirushwa TBC? Pia huo mwaka mmoja uliokuwa unateswa na Fetty ndugu zako au Salome alikuwa wapi akashindwa kukufuatilia? Ok ngoja tuendelee kufurahia story yako.
Soma stori vzr sio unakurupuka kaka dada
 
[emoji1787][emoji1787] mkuu tuachane nayo hayo hawakawii kususa
Mwaambie asome stori toka mwanzo sio anakurupuka nilisema nilikas ndani mwaka mmoja mule kwa fetty nilipotoka mule nitolewa kimazingira nikajikuta nipo beach ndio watu walikiwa wananishangaa pale coco kutokana na manywele yangu ns nilivyokuwa kama msukule ndio waandishi wa tbc walitwa sasa nashangaa huyo dada kakakurupuka
 
Sijui kwa nini sijawahi kuamini katika story kama hizi zinazohusu hao viumbe... Huwa naona ni story za kufikirika tu.

Huu utomaso utakuja kuniua siku.[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom