Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Mhhh Wewe umesema ni Fundi lakini ulienda kununua kitanda cha inch 4 kwa 5 ......Fundi maiko kweli muda mwingine hata waandishi wa habari wanafanya tafiti kabla ya kuandika
Atuwekee mchanganua kama hatojali ... kwa jesabu zangu kitanda cha kawaida bei 200k godoro la kawaida 150k. Mengine waungwana naomba mmalizie kutaja maana naona vitu ni vingi then pesa kidogo hapo cjaweka ya pombe
 
Acha kukosoa kiboya mradi ukosoe tu,kwani bia 4 ni sh ngapi wakati hata elfu 10 tu haifiki
 
Haya ngoja nikupe hesabu za makadirio hapa
1. Bei ya kitanda kipya 4*5 =250k
2. Bei ya godoro " mpya bei 150k
3 . Bei ya chakula kwa alivyo orothesha 30k

Happ haja weka mavazi
Jumlisha na kiwango aliyo baking nacho 50k
 
We ndo ulimnunulia kwa mahesabu hayo?
Wote tunaonunuaga magari tunanunuaga bei za show room?
 
Back
Top Bottom