Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Me nahamu ya kujua we tiririka tu
ilichukua zaidi ya miezi minne kutambua kuwa hiki nachokutana nacho sio ndoto ila real.

mwanzo hata ilikuwa nikipiga game nae mbegu zinabaki kwenye underwear, yani yeye alinianza ila kwa mbinu ya ndoto tu baadae ndio akajiweka wazi.

siku moja nikamwambia sipendi hii tabia ya kuchafua chup* kila siku ndio akaniambia nakuwa muwazi kwako ila nataka nikupeleke nakoishi uone.

mzee ni bonge la hbr ndio maana nimeweka kiufupi tusiharibu mada ya watu
 
Tumegee hvo hvo mdo mdo,

Kwahyo unavomla anakuwa na ladha km binadam fresh tuu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yeah, kwanza niseme wana uzuri ambao binadamu wa kawaida hajafikia ila ni wa kujitengeneza maana anaweza kubadilika. niliwahi kumpenda binti fulani siku hiyo akaja kama huyo binti na nikambandua ila kwenye ndoto alafu akaja tena akaniuliza umeridhika?

Kuna thread niliweka humu na mimi natafuta siioni, sijui nini kimetokea ingawa zamani nilikuwa natumia ID ya never give up nikabadili kwa moderators.
 
Story tellers nawapongeza sana sio kazi ndogo kuwaza, kutunga ,kuipangilia na kuiwasilisha story katika uhalisia kama huu...yaani unasoma story huku unajenga taswira kichwani hatua baada ya hatua...

NB
Mnaojifanya investigators na wajuaji, tungeni za kwenu kama mnaona ni kazi rahisi. Jifunzeni kuthamini kazi za wenzenu, mafamba nyie. Ikikuuma chomoa.
Safi sana mkuu,hata kama Kuna mapungufu madogo madogo lakini tuna enjoy story.
 
Mungu amewazungumzia majini kwenye kitabu kitakatifu cha Quran pale alipoelezea maisha ya Nabii Mfalme Suleyman bin Daud, wazungu wanamuita King Solomon.Kuwa Majini ni mafundi wajenzi wakubwa sana na pia ni wasanifu ktk kuunda!

Mfalme Suleyman alipewa uwezo na Mungu kuwatumia hawa kumsaidia kufanya kazi ktk maisha yake na walimjengea miundo mbinu mikubwa mno ktk ustawi wa Ufalme wake, Majengo makubwa yakiwemo Makasri ya mfalme Suleyman yalijengwa na majini .Yana uwezo wa kupiga kazi usiku na mchana mfululizo, pia ni great Divers (Wazamiaji) walimsaidia kumletea vito vingi vya thamani kutoka chini kabisa ya bahari ambapo mwanadamu hawezi kufika.Pia idadi yao ni kubwa kuliko sisi wanaadamu.

Majini wana uwezo wa kuishi miaka mingi zaidi ya mwanadamu, infact anaweza akashuhudi vizazi vyako hata vitano baada ya wewe kuondoka hapa ulimwenguni. Maskani yao kubwa ni baharini, ndio ..hii bahari tunayoiona ndani yake ina miji,majumba na kila kitu kama tunavyoishi sisi ktk mgongo wa ardhi, Majini yana uwezo wa kusafiri kwa kasi ya kufumba na kufumbua jicho ameshakwenda na kurudi mahala anapopataka. Wana uwezo wa kupaa angani na wengine wanaishi ardhini kwenye mgongo wa ardhi, kwenye misitu mikubwa na wengine wanaishi ndani ya ardhi chini kwenye mapango marefu.

Pia wana milki aka falme na koo kama tulivyosisi huku dunia.Kuna koo zao nyingine zina nguvu, zinaogopeka kwa nguvu na utajiri na nyingine ni za kawaida. Pia katika ulimwengu wao wapo walioasi yaani wabaya na hawa huitwa MASHETANI na pia wapo WEMA. Kiuhalisia Jini anatakiwa aishi maisha yake asimuingilie mwanadamu ktk kufanya maamuzi au kumahurutisha ktk maisha yake maana Mungu hajaumba nafsi mbili ktk kiwiliwili kimoja. So kitendo cha kumkalia mwanadamu ktk mwili wake kama kumfosi kimapenzi au kumfosi awe mganga au mchawi huku kunatafsirika kama UASI na jini huyo anabadilika na kuwa Shetani, na hapo inabidi atolewe kinguvu ili asiyaharibu maisha ya mwanadamu huyo.
 
Binafsi nimeshuhudia kwa dada yangu kuna kipindi alikuwa nayo ...na yalikuwa yanamletea pesa, yanamwambia nenda kafungue sehemu fulani chumbani utakuta pesa ,akifika akifungua anakuta kweli pesa. Alikuwa akichelewa shule kutokana na tabu za usafiri...basi atashangaa tuu gari linakuja linapaki linamwambia pakia twende anapelekwa shule.

Sometimes akienda dukani anaweza akaja mama wa kiarabu ananukia anamsalimia akiondoka baadae anakuja kumuiliza unajua aliyekusalimia pale dukani ? Linamwambia ni yeye jini. So thwy are weird wanatuona ila sisi tumenyimwa uwezo wa kuwaona. Sometimes wanaweza kuja ktk maumbile ya paka mweusi au hata mbwa.

Kuna muda yalikuwa yanataka kumpeleka huko ujinini chini ya bahari aende akatembee. Kwa asiyeyajua anaweza akadhania ni CHAI ila ni uhalisia ambao upo. Baadae alifanyiwa tiba yakatolewa yote mwilini mwake maana sometimes yalikuwa yanaweza kumkalia mwilini mwanzo wa asubuhi mpk usiku anakuwa sio yeye. So yalikuwa yanamuumiza.
 
Mleta mada anaweza akawa anasimulia kama story ya ukweli au sio ya kweli ila anayoyazungumza ndani yake yana uhalisia kuhusiana na ulimwengu wa majini. Ukipendwa na Jini la kike ni shida sana,yana wivu balaa hayataki mwanamke mwingine wa kibinadamu akusogelee. Unaweza hata usipate nguvu za tendo unapokuwa na mwanamke mwingine ila ukiwa mwenyewe unajiona ni mzima kabisa.

Ni hivi yamepewa uwezo ya kutembea katika mwili wa mwanadamu.Mwili wa mwanadamu una njia , yanamzunguka mwanadamu kupitia mishipa ya damu so ana uwezo wa kukaa ubavuni,kwenye kichwa ,kwenye ncha za vidole ,n.k

ILA HAYAWEZI KUMDHURU MWANADAMU MPAKA MUNGU ATAKE KUKUPA TU MTIHANI .

Licha ya kuwa Majini yamepewa nguvu dhidi ya mwanadam bado Mungu amemuwekea mwanadamu ulinzi mkubwa wa MALAIKA WA TANO! Kuhakikisha hakuja kitakachomdhuru mwanadamu mpk YEYE mwenyewe aridhie kumfanyia mtihani mwanadamu huyo.
 
Back
Top Bottom