Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nashangaaMkuu unayumba sana...... ulisema una-type ila kimyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavu tu hapa stori za uongo tu, mambo ya sjui kupendwa na jini sjui nini ni upuuzi na uongo mtakatifu , na watu wanakesha kubebembeleza mtu aendelee kuwadanganya na stori za abunuasi
Pumbavu kabisa.
Nipo nimejaa tele. Tunaendelea kuijenga GoguryeoMke wa Jumong kumbe upo huku?
Unanikumbusha enzi zangu nilipokuwa Sina kazi za kufanya... Nilikuwa nikiamka tu asubuhi naanza kuangalia Jumong mpaka jioni ...na hivi zilikuwa nyingi. ..[emoji119][emoji119][emoji119]Nipo nimejaa tele. Tunaendelea kuijenga Goguryeo
Nlichogundua watu kama wewe mliwapata majini madume yakawageuza wake zao ndo mana mnamind na kuwa na hasira...,tulia zali lako lilikua baya mwana kapata zuriUpumbavu tu hapa stori za uongo tu, mambo ya sjui kupendwa na jini sjui nini ni upuuzi na uongo mtakatifu , na watu wanakesha kubebembeleza mtu aendelee kuwadanganya na stori za abunuasi
Pumbavu kabisa.
Hapa Tangawiz imezidi kidogo kama V8 gar ndogo itakua huko ujinini wanatumia ma buldozer"Alikuja na gari dogo haina ya V8"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hhhhhhh Buyeo is already Perish and Goguryeo existNipo nimejaa tele. Tunaendelea kuijenga Goguryeo
Sawa bilioneaPumbavu kweli, ungekua unatumia iphone macho matatu au angalau hata samsung S series ningeshtuka kidogo, unatumia tecno k8 ? halafu una mdomo hivyo, endelea kusubiri stori ya DADA JINI..
Unafanya nini kwenye huu uzi sasa...au unataka kufanywaUpumbavu tu hapa stori za uongo tu, mambo ya sjui kupendwa na jini sjui nini ni upuuzi na uongo mtakatifu , na watu wanakesha kubebembeleza mtu aendelee kuwadanganya na stori za abunuasi
Pumbavu kabisa.
Mkuu mimi Nina Lexus saloon inafanana na crown ni V8 na cc 4000. Just google Lexus LS 400 utaiona kwa mara ya kwanza maana najua hujawahi kuona na ni chache mnoHapa Tangawiz imezidi kidogo kama V8 gar ndogo itakua huko ujinini wanatumia ma buldozer
SEHEMU YA 11SEHEMU YA 10
****************************************
Ilipoishia ni pale nimepewa gari na fetty pia ndani ya gari nikakuta begi jeusi kubwa ndani lilikuwa na shs millioni moja pamoja na simu kubwa aina ya samsung smartphone,
Na pia ni pale nilipoongea na fetty akaniambia kesho anakuja na tunahama tunaenda kuishi masaki huku pia akisema kuwa tupo katika vita kubwa na salome sasa endelea,
#####
Simu ya salome ilinishtua sana nikasema salome ananipigia nn tena?
Ikabidi nipokee hallow mambo vp aliniambia salome,
Salama sijui ww huko?
Nilimjibu akaendelea kusema rafiki kuna mambo makubwa kila siku mungu ananionyesha juu yako upo katika wakati mbaya sana nikamuuliza kvp akaendelea kusema maisha yako yapo mikoni mwako kama utaniamini achana na fetty mrudie mungu wako anza kwenda kanisani hau ukiruhusu mimi nije hapo kwako nikuombee nitakwambia kila kitu,
Maneno ya salome yalinishtua sana lakini ghafla nikaona namzarau tu nikamwambia kata umekosa cha kuongea naomba usije nitafuta tena ukaongea huo ujinga wako wa kila siku nikata kata simu na kushusha pumzi ndefu huuuuuh leo tena huyu salome anataka nn kwangu?
Nikawa najiuliuza moyoni basi nikajisemea moyoni huyu mwanamke ananitaka kilazima huyu ndugu msomaji unajua mda mwingine nadhani yule jini fetty kuna vitu alinifanyia kwenye akili yangu yaani nilikuwa naona kama salome ananiambia maneno ya kijinga mno nikawa nahisi ananitaka kilazima tu,
Basi siku hiyo kwangu ilipita vizuri na kama kawaida usiku tulikuwa tunawasiliana na fetty alinipigia simu usiku wa siku hiyo tuliongea sana mambo mbali mbali nakumbuka usiku wa siku hiyo fetty aliniambia kesho tunahamia masaki rasmi nitakuja asubuhi mapema nikamwambia sawa ila nikamuuliza masaki tunaenda kwa nani akasema ondoa shaka mimi kesho nikija utajua kila kitu nikasema sawa,
Kweli asubuhi nimeamka pale nikawa nasalimiana na wapangaji wenzangu pale nikawa nawaaga kuwa sasa nahama hapo daaah wapangaji wengi walijawa wana masikitiko sana ila mmoja wa wapangaji wenzangu akaniuliza unahamia wapi nikawambia masaki akasema duh ongera sana masaki ni pakishua huko naona mambo sasa sio mabaya[emoji1]
Basi baada ya masaa kidogo wife akawa amekuja na safari hiyo fetty alikuja akiwa ameongozana na dada mmoja hivi nisiemfahamu akafika pale akasalimia wapangaji pale akawa ameingia ndani na yule mgeni ambae baadae alijitambulisha kuwa huyo ni rfk ake alikuwa ni mdada mmoja mzuri kweli nae alikuwa amevaa kiostadhat yeye alikuwa mweusi ila ana weusi flani wa kung,aa basi akaniambia fetty leo ndio tunahama hapa inabidi uchukue vitu vyako vya muhimu vingine unaweza wapa tu wapangaji suala lililonishangaza sana akaendelea kusema unaenda sasa kuishi maisha mengine kwahiyo sidhani kama kuna ulazima wa kubeba vitu vyote kama kitandani sijui vyombo hau godoro nikasema sasa hivi vitu tunaviweka wapi akacheka kidogo akaendelea kwani hauna rfk?
Umpe tu hapo nikamkumbuka broo mussa nikampigia nikamwambia bro. Njoo nyumbani kweli muda sio muda akafika ikabidi nimwambie kila kitu mimi nahama hapa ww kuna vitu nakuachia hapa kama kitanda na godoro na vyombo vyombo vichukue tu maskini bro mussa ni kijana nae anaepambana na maisha akuamini kuachiwa vitu kama hivyo alifurahi sana kweli nilichukua vitu vya muhimu pale na maelekezo yote nilimuachia bro mussa na funguo za chumba nilimpa yeye amkabidhi baba mwenye nyumba kuwa mimi nimeshahama kweli tuondoka kwa lile gari aina ya v 8 ambalo alinilitetea fetty alikuwa akiendesha gari lile tukaondoka sasa maisha yangu ya kuanza kuishi mjini masaki yakaanza tulifika baada ya masaa kadhaa masaki sikuamini niliposhuhudia tukifunguliwa gheti lilikuwa ni bonge moja la jumba kubwa niliposhuka kwenye gari fetty akanibusu akaniambia karibu kwangu hii nyumba nilijenga mda mrefu hapa alikuwa anakaa huyu rafiki angu kwa muda wote nikamwambia sawa ila ndugu msomaji sikuwahi kuwaza ipo siku nitakuja kukaa kwenye jumba kubwa kama lile basi tukaingia ndani ilikuwa ni nyumba ambayo unapanda kwa ngazi bonge moja la jumba nilikuwa naona kama naota mule ndani ya nyumba kulikuwa na vyumba sita nilikuja kuvijua baada ya kuelezwa na fetty katika vyumba sita chumba kimoja alikuwa akiishi huyo rfk ake fetty ambae baadae baada ya kuzoeana nae nilikuja kugundua yeye hakuwa jini ni binadamu kama mimi tu na alikuwa akiitwa mwajabu hapa kwa mwajabu kukutana na fetty ni stori ndefu mno tena sana kwann mwajabu binadamu kama mimi ameweza kuwa na urafiki na jini na aliniambia wana urafiki wa miaka 10 sasa na fetty amemsadia vya kutosha haya yote niliyajua baada ya kuzoeana na mwajabu katika kupiga piga stori kwa leo niishe hapa sehemu inayokuja utajua kila kitu na sasa simulizi imefika sehemu patamu sana
Muendelezo leo usiku
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Ni kama Crown old modelMkuu mimi Nina Lexus saloon inafanana na crown ni V8 na cc 4000. Just google Lexus LS 400 utaiona kwa mara ya kwanza maana najua hujawahi kuona na ni chache mno
Safi, ila mkuu fanya iwe hata ndefu kiasi.SEHEMU YA 11
************************************
mwajabu yule rafiki wa jini fetty ambae yeye alikuwa ni binadamu tu kama sisi alinisimulia jinsi walivyokutana na fetty hadi hivi sasa wamedumu na urafiki wa miaka 10 pamoja ni ngumu kuamini kama jini na binadamu wanaweza kuwa na urafiki tena wa mda mrefu hivyo,
Mwajabu anasema alikutana na fetty katika mazingira magumu mno miaka 10 iliyopita ilikuwa hivi mwajabu anasema alikuwa akienda zanzibar kwa mamaake mdogo kila mwisho wa mwaka kumsalimia mamaake huyo mdogo sasa siku moja anasema uwa yeye ni mtu wa kupenda kwenda kwenda beach sasa siku moja ameenda zake beach na mtoto wa mamaaake mdogo wapo beach kule kule zanzibar sasa yeye alikuwa amejitenga kidogo alikuwa akizunguka zunguka pale beach ghafla wakati anazunguka akaona kuna chupa inaelea baharini sasa ikabidi aifuate ile chupa sasa ile chupa ilikuwa ni chupa ya soda ambayo ilikuwa na kizibo akaanza kuifungua anasema alipoifungua alishangaa kuona moshi umetoka mule ndani ya chupa kitu kilichomshtua na kuitupa ile chupa akakakimbia na kumwambia yule ntoto wa mamaake mdogo waondoke haraka anasema hapo ndipo rasmi jini fetty alipokutana nae anasema baada ya kupita kama wiki siku moja alikuwa anatoka sehemu usiku anarudi kwa mamaake mdogo ghafla akawa amevamiwa na vibaka wanne walitaka kumbaka katika purukushani za kupiga piga kelele ghafla akatokea mdada mmoja asiemfahamu yule mdada alipotokea akawaambia wale vibaka naombeni mumuache huyu binti haraka anasema alishangaa wale jamaa wakimuacha na kukimbia kitu kilichomshangaza sana anasema baadae yule dada alikuja karibu yake huyo ndio fetty akamwambia usijali nimekusaidia kwa kuwa uliwahi kunisaidia sasa nenda nyumbani anasema alishangaa sana akaondoka kurudi nyumbani zikapita siku na masiku akawa amerudi tz sasa yeye kwao ni dar mbagala rangi tatu anasema akiwa dar alikuwa akitafuta kazi za ndani sana siku moja akapigiwa simu na namba ngeni anasema huyo aliempigia simu alimwambia nasikia unatafuta kazi za ndani kazi umepata kwangu kesho tuonane basi ikabidi siku hiyo wakutane anasema alishangaa anakutana na yule yule dada aliewahi kumsaidia asibakwe kule zanzibar kwa kuwa sura yake aliikumbuka hapo ndipo alipopata kazi za ndani kwa fetty rasmi
([emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]MSHANGAOOOOO)
####
STORI ni ndefu sana juu ya mwajabu kukutana na jini fetty huyo yote mwajabu alikuwa akinisimulia kipindi kile anasema fetty aliwahi kupewa adhabu ya kuwekwa kwenye chupa na ile siku ameokota ile chupa ndio alipomfungulia fetty bila kujua anasema fetty alimwambia kuwa yeye ni jini na siku ile amemfungulia mule kwenye chupa alikuwa yupo katika adhabu kali ambapo anasema hiyo adhabu alipewa na familia moja ghafla mwajabu alisita kuendelea na simulizi akaniambia tuachane na hii stori ikabudi nimuulize kwann akasema naona fetty hapendi mimi kukwambia ukweli na kama nikiendelea atanipa adhabu na mimi na fetty tumekaa miaka mingi bila ugomvi na amekuwa akisomesha ndugu zangu akiisaidia familia yangu akawa anaongea kwa kulia kuwa fetty amemjengea nyumba pale tabata anapangisha ni mengi mazuri fetty amenisaidia kwa kulipa fadhila ndio maana ameamua tu kuishi nae humu humu ndani baadae mwajabu akasema shem kama unampenda fetty ww ishi nae kwani ni mtu mzuri sana japo uwa ana hasira za haraka na kali mno,
Mwajabu alimaliza simulizi yake hivyo japo hakuniambia ni familia ipi iliyompa adhabu kali ya kumuweka kwenye chupa jini fetty,
#SASA ENDELEA#
Maisha yangu na fetty mule ndani yaliendelea vizuri nikawa na maisha mazuri sana tulikuwa tukipenda na fetty kule ujinini kwao hadi nikawa nimezoeleka na ndugu zake wote na niliweza kufungua biashara kariakoo ya kuuza vifaa vya umeme nilikwa na maisha mazuri kiasi cha kununua uwanja na kujengea wazazi wangu nyumba ndogo ya vyumba vitatu ya bati nzuri maisha yakasonga sasa tuliweza kuishi miaka 2 kwa amani na fetty sasa nakumbuka siku moja sitaisahau ni pale nilipoiona namba ngeni ikinipigia simu nilikuwa nipo kazini ikabidi nipokee simu sikuamini kama ni salome na bado ananifuatilia licha ya kumblock namba zake ni kajisemea huyu binti hachoki tu kunitafuta nakumbuka salome siku hiyo aliniambia kuwa nimeoteshwa unazidi kuingia pabaya na maisha yako sasa yapo katika hatari mno achana na fetty nikamjibu kuwa kuachana na fetty siwezi na yeye afuate mambo yake na huyo mungu wake kama amekosa kazi aje nimpe ajira
Licha ya maneno haya salome hakukoma kunitafuta,
Wakuu nitaendelaa
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kupambana kulinywesha mafuta Hilo dude la CC4000. Sio mchezo mkuu kama unalimudu basi wewe ni uchumi wa Kati grade 1.Mkuu mimi Nina Lexus saloon inafanana na crown ni V8 na cc 4000. Just google Lexus LS 400 utaiona kwa mara ya kwanza maana najua hujawahi kuona na ni chache mno
Nililimudu kabla sijatumbuliwa..badaae nikabadili engine nikaweka Beams 2000Hongera kwa kupambana kulinywesha mafuta Hilo dude la CC4000. Sio mchezo mkuu kama unalimudu basi wewe ni uchumi wa Kati grade 1.
Mkuu nime Google nimeona hii je? Nipo sahihi?
Kumbe hizi habari za jini kwenye chupa hazikitutungwaga tu... Aisee kweli maisha yanamengiSEHEMU YA 11