Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kapelekwa jando na jiniMbon huendeleei mwamba stori ishanoga HB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapelekwa jando na jiniMbon huendeleei mwamba stori ishanoga HB
Yuko zake ukweniiii kwa kina fetty......mwanzo alisema anahudumia my wife wake kajifungua labda ndo maana....fetty nae si alikuwa na mimba sa ilikuwaje hajasimlia ile mimba adi akafikia kutafuna mwajabu🤣🤣🤣🤣🤣He! Sijaingia wiki nikijua ntakuta episode 5 hivi kumbe uzi umetelekezwa
Au nae wamempa adhabu ya kufungiwa kwenye chupa...ngoja niende coco beachYuko zake ukweniiii kwa kina fetty......mwanzo alisema anahudumia my wife wake kajifungua labda ndo maana....fetty nae si alikuwa na mimba sa ilikuwaje hajasimlia ile mimba adi akafikia kutafuna mwajabu🤣🤣🤣🤣🤣
kuna mda unapata vitu hata kama havina uhalisia lkn vinafurahisha.Hivi kweli upoteze muda wako kusoma stori za uongo za jf.
Hao jamaa ni wafuasi wa shetani, sasa kama wako kwenu jaribu kujitafakari vizuri. Kumbuka mnasema kuna majini wazuri na wabaya, ukifa utapewa mabikira 72 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hizi dini bhanaMajini walikuwepo enzi na enzi... wanajua mengi na ndio maana wapo kwenye dini ya haki..... Wao wana ufaham na uelewa mkubwa wa mambo.
Wakuu habari za humu jf ndugu zangu? Nilipata msiba ndio maana sikuwepo jf mtu aliefariki ni mtu wangu muhimu katika maisha yangu ila nimeshapoa kesho nitaendeleza stori asubuhi kama kawaida [emoji122][emoji122]Au nae wamempa adhabu ya kufungiwa kwenye chupa...ngoja niende coco beach
[emoji1][emoji1][emoji1]arudi tu akapige magoti kwa shemeji yetu jini
Ni mbowe[emoji1]Pia aje atuambie Rais wa huko ujinini awamu hii ni nani
[emoji1][emoji1]Ukute Shemeji yetu Fetty kashafanya yake Tena, kampeleka kule Masaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimerudi mkuu[emoji122]Naamini ni majukumu ya kifamilia yamembana...atarudi kuendeleza sababu alikua kashasema shemeji yetu kajifungua...na mambo huwa mengi kipindi hiki. handsome boy wa jf nimekutetea tena sasa ule bati tena ntakavyokuzibua
HB wa JF endeleza kisa basi mkuu
Pole sana tunakusubiriWakuu habari za humu jf ndugu zangu? Nilipata msiba ndio maana sikuwepo jf mtu aliefariki ni mtu wangu muhimu katika maisha yangu ila nimeshapoa kesho nitaendeleza stori asubuhi kama kawaida [emoji122][emoji122]
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa no mkuu ni Mbowa