Siku niliyotaka kumuua mjomba wangu!!

Siku niliyotaka kumuua mjomba wangu!!

hongera kwa kumlinda mama Happy mothers day!
Mungu ampumzishe mahali pema peponi baba
 
nilipokuwa mdogo, kuna siku baba nusura aingie kwenye anga zangu, nusura nimpopoe mawe ya uso siku alipompiga mama...yaani nikikumbuka siku hiyo moyo unaniuma kwasababu ningekuwa nimefanya kitu kibaya kuliko vyote kumpopoa dingi mawe. nashukuru Mungu alinizuia kwakweli, manake historia ambayo ningekuwa nimeweka ingekuwa mbaya kwangu.
 
Thanks Mzizi... farther love is always special!!! especially kama umewahi kuipata. shukuru mungu you had that chance, i always thank God for that too..

Thanks pia kwa kutuonyesha the other side of our beautiful life - pombe, domestic violence, pride ya mzee kwako na maisha baada ya ajira kwa mzee wako
Mkuu u r damn right!!!.........I always feel what I missed, can imagine at my age.......i remember mzee nikiwa miaka mitatu hivi lakini pia he was not around ndani ya hyo miaka mitatu!, then that was it!!, so total dackness kwenye issue za upendo wa baba. I dont regreat it, I know God loved him more, lakini He has given me amazing talents and ability to love and see life in 3D.
 
Mbuyu kumbe home boy!

Umenitoa machozi kwa kisa cha kusisimua!

Huko peke yako; Marehemu wetu wametangulia nasi tunawafuata huko kwenye makao ya milele.
 
nilipokuwa mdogo, kuna siku baba nusura aingie kwenye anga zangu, nusura nimpopoe mawe ya uso siku alipompiga mama...yaani nikikumbuka siku hiyo moyo unaniuma kwasababu ningekuwa nimefanya kitu kibaya kuliko vyote kumpopoa dingi mawe. nashukuru Mungu alinizuia kwakweli, manake historia ambayo ningekuwa nimeweka ingekuwa mbaya kwangu.

Mkuu! the only person I have known since nimezaliwa ni maza na dada zangu na kaka mmoja, kaka zangu wengine walikuwa washatambaa kutafuta maisha. Ki ukweli mi nshampopoa maza mawe bana. kuna siku alinichapa kichapo cha mwizi..........nikachomoka nikanyayua jiwe nikamapa. dadangu mmoja akanikimbiza akanikamata. nikajua leo ndo mwiso wangu. lakini cha kushangaza ni kwamab alinileta kwa maza, maza akaniambia sitakaa nikuchape tena; from there, nikiwa nimekosa kitu ananiangalia tuu!! then masister wnanikumbusha kwamba unamhuzunisha sana mama....then naomba msamaha ananisamehe!!

yani huwa nacheka mwenyewe nikikmbuka jinsi maza alivyokuwa ananipenada na kunicharaza at the same time.
Nilikuwa kibonge nikiwa kinda, na nilikuwa napenda maziwa balaaaa!! maza alikuwa anahakikisha napata maziwa fresh lita moja kwa siku, maziwa yakikamuliwa kama hawaja kaa sawa mi nakuwa nshayatandika kabla ya kuchemshwa!!! maza alikuwa ananiangalia anacheka sana hadi leo nakumbuka vicheko vyake wakati ule.
 
Bigirita, kumbe we kidume, mbona jina la kike na maelezo yako ni ya kiume, kweli duniani kuna mambo!!!!
 
Bigirita, kumbe we kidume, mbona jina la kike na maelezo yako ni ya kiume, kweli duniani kuna mambo!!!!

Mkuu jina sio la kike bana!! la kike ni Brigita mm ni BIGIRITA.
 
Nashukuruni woote mlionipa pole, thanks... na poleni pia mlioondokewa na wazazi pia.
 
Nadhani umeendeleza career...
wafaa sana kuwa baunsa au mwanamieleka.
.hopefully sio jambazi manake hizo kabali ulikua 14,je sasa..
By the way The best memory u've 'bout ur father
Mzidi babako kwa wanao
Peace
 
Thanks Mzizi... farther love is always special!!! especially kama umewahi kuipata. shukuru mungu you had that chance, i always thank God for that too..

Thanks pia kwa kutuonyesha the other side of our beautiful life - pombe, domestic violence, pride ya mzee kwako na maisha baada ya ajira kwa mzee wako

hongereni sana mliokua nao na wakawapenda.Mungu aliniepusha na jela kwa 'kumpenda zaidi' wangu na kumuua sababu ningeweza kumuua mwenyewe muda mchache tu baadae!sijawahi kuchukia mtu maishani mwangu as namchukia babangu{though he died six years back}.ningepewa risasi moja tu na ka-revolver{i love revolvers,they never jams!!} afu nichague wa kuondoa kati yake na Osama ningemwondoa yeye!i feel sick whenever namfikiri au kumzungumzia!:mad2:
 
hivi ni wewe huyu huyu mzizi wa mbuyu ..
habari hii kweli imeniingia sana moyoni sina la kuongezea
 
nilizimiss sana stori zako, nikatamani nikukumbushie mbona hatuzisomi siku hizi, ila pole kwa msiba ulikufika manake ni jambo zoto sana.
usiache kutuleteavisa vingine ziadi vikikufika kwani huwa ni faraja kwetu tunaojua umuhimu wako.
siku njema.
 
Back
Top Bottom