Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
hongera kwa kumlinda mama Happy mothers day!
Mungu ampumzishe mahali pema peponi baba
Mungu ampumzishe mahali pema peponi baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu u r damn right!!!.........I always feel what I missed, can imagine at my age.......i remember mzee nikiwa miaka mitatu hivi lakini pia he was not around ndani ya hyo miaka mitatu!, then that was it!!, so total dackness kwenye issue za upendo wa baba. I dont regreat it, I know God loved him more, lakini He has given me amazing talents and ability to love and see life in 3D.Thanks Mzizi... farther love is always special!!! especially kama umewahi kuipata. shukuru mungu you had that chance, i always thank God for that too..
Thanks pia kwa kutuonyesha the other side of our beautiful life - pombe, domestic violence, pride ya mzee kwako na maisha baada ya ajira kwa mzee wako
nilipokuwa mdogo, kuna siku baba nusura aingie kwenye anga zangu, nusura nimpopoe mawe ya uso siku alipompiga mama...yaani nikikumbuka siku hiyo moyo unaniuma kwasababu ningekuwa nimefanya kitu kibaya kuliko vyote kumpopoa dingi mawe. nashukuru Mungu alinizuia kwakweli, manake historia ambayo ningekuwa nimeweka ingekuwa mbaya kwangu.
Bigirita, kumbe we kidume, mbona jina la kike na maelezo yako ni ya kiume, kweli duniani kuna mambo!!!!
Thanks Mzizi... farther love is always special!!! especially kama umewahi kuipata. shukuru mungu you had that chance, i always thank God for that too..
Thanks pia kwa kutuonyesha the other side of our beautiful life - pombe, domestic violence, pride ya mzee kwako na maisha baada ya ajira kwa mzee wako