Mbona hujatoa tena muendelezo?Roho mtakatifu alikuwepo kunisaidia, and i speaked in tongue😅 🔥
Kwamba wahuni wali piga kamba za chap chapMkuu nenda kwa code kama mhusika alivyotaka, usitweze utu wake.
we una weza eleza anguko lako🦅Mbona hujatoa tena muendelezo?
unajua maana ya neno hawala?Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti.
Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji kile nilikua nakaa single.
Basi kwenye kutongoza Mwanamke akaniambia kwamba kuna jamaa ndio mpinzani wangu, na huyo jamaa tayari anakikwazo alimdanganya Manzi kuwa hajaowa kumbe ana mke na watoto.
Basi mimi nikajisemea nina haki zaidi yake, kwanini amuache mkewe aje kwako,
Basi nikasema kwa dharau haniwezi kitu huyo, kuna kipindi alikua anatuma sms kwenye namba ya Manzi usiku tukiwa kitandani..
Jamaa analalamika kuachwa, Na kuapa kutukomoa.
Basi bhana, jamaa ikabidi atume na vitisho kupitia jamaa mwingine ambae nilikua na urafiki nae,
mimi nikamwambia rudisha ujumbe kwake mwambie hivi, mimi ni maiti inayotembea, sina cha kupoteza hii dunia.
Nyie mbususu hizi 😂😅 ni noma, Basi siku moja Tukiwa tumelala mimi na Mwanamke wangu usiku, Tukatembelewa....
**inaendelea.
ni nini?ndio 😁
Ni dhahiri hujui,hawala ni hundi ya pesa,wewe ulitaka kuandika hawara ambayo maana yake ni mwanamke unayeishi nae bila ndoa,bafala yake ukaandikabhawala ambayo maana yake ni kitu kinginendio 😁
Waliichapa ila kwa mbinde sanaKwamba wahuni wali piga kamba za chap chap
Anguko bayaWaliichapa ila kwa mbinde sana
Umenichekesha sana..bila D2 huwezi kuelewaPesabure
Pesaflow
Borapesa
Chotapesa
Patapesa
Maisha ni magumu jaman sitowafundisha kila kitu
Nb.unatakiwa uwe na moyo mgumu wa kuvumilia matusi mazito sana, hiyo ndo siri kubwa ya kuzilamba hela
Mpaka saiv bado watu wengi hawaelewi kwamba wenzao kila siku tunavuta 30k+Umenichekesha sana..bila D2 huwezi kuelewa
Lazima uwe na moyo shupavu kwa kweliMpaka saiv bado watu wengi hawaelewi kwamba wenzao kila siku tunavuta 30k+
Ila yale matusi sio poa ilibidi nitafute simu nyingine kwa kazi ya kuvuna pesa tu