Siku nimefatwa na mchawi kisa nimebeba hawala yake

unajua maana ya neno hawala?
 
Dah ni noma yaani unaamka asubuhi unakutana naye mlangani na panga.

Mshukuru sana huyo binti kwakupiga kelele, na babu kasozi kwa kuamka mida hiyo pia
 
Pesabure
Pesaflow
Borapesa
Chotapesa
Patapesa

Maisha ni magumu jaman sitowafundisha kila kitu

Nb.unatakiwa uwe na moyo mgumu wa kuvumilia matusi mazito sana, hiyo ndo siri kubwa ya kuzilamba hela
Umenichekesha sana..bila D2 huwezi kuelewa
 
Umenichekesha sana..bila D2 huwezi kuelewa
Mpaka saiv bado watu wengi hawaelewi kwamba wenzao kila siku tunavuta 30k+

Ila yale matusi sio poa ilibidi nitafute simu nyingine kwa kazi ya kuvuna pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…