Siku nzima ya leo benki ya CRDB haikufanya kazi kwa ukosefu wa mtandao

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Siku ya leo haikuwa siku nzuri kwa CRDB. Wateja wengi tulikosa huma na wengine tulikaa ndani ya Benki kwa muda mrefu sana kwa Benki kukosa mtandao. Mpaka sasa Benki haijatuomba radhi licha ya kupata adha kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…