The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kweli dunia tambara bovu na siasa ni mchezo mchafu sana. Nani alijua Polepole angeishia alipoishia. Huyu kamaliza bado Gwajima. Mwaka huu MaCCM mtamalizana. Halo halo, vita ya kunguru neema ya panzi wahenga walisema. Nadhani Tundu Lissu na familia za wahanga wa MaCCM hawana cha kuonea huruma zaidi ya kukubali kuwa kweli Mungu analipa hapa hapa duniani.
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Humphrey Polepole akikagua gwaride Nje ya Viwanja Vya Ikulu Nchini Malawi Muda mfupi kabla ya kukabidhi hati za utambulisho rasmi wa Ubalozi kwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera , Alhamisi ya Juni 17, 2022.