Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015
Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake
Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Sisi wananchi tunajiuliza kulikoni?
Ahadi ni deni, na muungwana akiahidi anapaswa kutekeleza