Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

As long as hawezi yeye kama Rais kuwa Mfalme au Malkia kutokana na muundo wa katiba basi huo uteuzi atakaofanya wa Mfalme au Malkia utakuwa ni wa jina tu usio na maana ya halisi tunayoijua. Pole Kwa kuchanganyikiwa
 
 
Lakini wapo hata viongozi wa kiroho eti hawaoni umuhimu wa Katiba mpya bora !πŸ˜…
Nchi hii ngumu sana !! πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Kwa tanzania inawezekana kabisa kwa sababu sheria huwa zinapindishwa.chawa wake wataanza kusemarais anaruhusiwa kuchagua yeyote na kauri ya rais wa tz ni sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…