LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Hamduni

Senior Member
Joined
Apr 25, 2020
Posts
172
Reaction score
118
📍 Kigamboni

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na kuwaombea kura wagombea wote wa Wilaya ya Kigamboni katika Viwanja vya Mzimuni Kata ya Vijibweni Kigamboni.

🗓️ 21 Novemba, 2024.

#Chamakipokazini.
#Kijanimtaani
#Tumetekelezakaziinaendelea

IMG-20241121-WA0039.jpg
IMG-20241121-WA0038.jpg
IMG-20241121-WA0037.jpg
IMG-20241121-WA0036.jpg
 
Swali fikirishi toka kwa Lema:. Mke wa Makalla anavaa chupi gani? Mtumba OG ama?
 
CPA
What for..?!
Tanzania tunapenda sana titles..
Mara Dakta, cpa, cde🤣
 
📍 Kigamboni

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na kuwaombea kura wagombea wote wa Wilaya ya Kigamboni katika Viwanja vya Mzimuni Kata ya Vijibweni Kigamboni.

🗓️ 21 Novemba, 2024.

#Chamakipokazini.
#Kijanimtaani
#Tumetekelezakaziinaendelea
IMG-20241121-WA0053.jpg
 
Mimi kama sijaelewa hizi kampeni ni zanini wakati wapinzani wao karibia wote wamepigwa pin na wasimizi kwa kile kinachoitwa kukosa vigezo/kukosea kujaza form.
 
Back
Top Bottom