Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nimeikataa kabisa dhana ya kwamba wanawake tunatakiwa kuwa na aibu au kuaibishwa / kudhikakiwa (shame) kwenye kuzungumzia raha zetu (pleasure) au kufurahi kwa namna ambayo tunapendezwa nayo.
Nimeanza likizo, watoto wameenda kwa bibi na babu zao, shule zimefungwa, wasaidizi wa nyumbani tumewapa likizo, na sina cha kufanya zaidi ya kuitumikia ndoa kwa moyo, nguvu, utundu na umahiri uliotukuka
🍑.
Kuanzia kesho tukutane kwenye ulimwengu wa raha, inawezekana ukaokota chochote kutoka kwangu na mimi nitajifunza mawili matatu kutoka kwako.
Kwa sasa tuzogoe!
Siku 7 za raha:
Karibu, vuta kiti kaa kwa kutulia, nikuletee simulizi moja ya raha ya kitu ambacho kimenifurahisha zaidi siku hiyo.
Zingatia:
Kuandika na masimulizi ni moja ya vitu vinavyonifurahisha, kwahiyo nitaandika vile ninajisikia, kama hupendi mambo ya mapenzi na mahusiano, feel free kuniweka kwenye ignore list yako usione nyuzi zangu.
Asante na Alamsiki!
*********
Nimeanza likizo, watoto wameenda kwa bibi na babu zao, shule zimefungwa, wasaidizi wa nyumbani tumewapa likizo, na sina cha kufanya zaidi ya kuitumikia ndoa kwa moyo, nguvu, utundu na umahiri uliotukuka
🍑.Kuanzia kesho tukutane kwenye ulimwengu wa raha, inawezekana ukaokota chochote kutoka kwangu na mimi nitajifunza mawili matatu kutoka kwako.
Kwa sasa tuzogoe!
- Kabla ya mechi ya wakubwa, wewe unapenda aanzie wapi na aanzie na nini kwenye kukuandaa ili uwe tayari kwa mtanange?
- Vimaneno gani vya faraghani mwenzako akikuambia vinakuchanganya mkiwa mnashiriki kwenye tendo au hata akiwa anakuchombeza kukuandaa? (Yangu ni "mke wangu .......... yako tamu", hata kama nimechoka basi ntanyanyua tu miguu vizuri ili mchi uingie kwa uzuri kwenye kinu)
- Lini mara ya mwisho umepewa tamu nje ya nyumbani / chumbani kwako, na ilikuwaje?
Siku 7 za raha:
Karibu, vuta kiti kaa kwa kutulia, nikuletee simulizi moja ya raha ya kitu ambacho kimenifurahisha zaidi siku hiyo.
- Ulimwengu wa raha - siku ya 1/7 - Naomba uniwekee yote …………. - July 14
- Ulimwengu wa raha - siku ya 2/7 - .Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache …………. - July 16
- Ulimwengu wa raha - siku ya 3/7 - ........................
- Ulimwengu wa raha - siku ya 4/7 - ........................
- Ulimwengu wa raha - siku ya 5/7 - .........................
- Ulimwengu wa raha - siku ya 6/7 - ........................
- Ulimwengu wa raha - siku ya 7/7 - .........................