Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #201
Kwani wewe mtoto?Wakubwa mnafaid sana
Kwani wewe mtoto?Wakubwa mnafaid sana
Kwani mliishia wapi? Nikasubiri feedback kwa hamuu? Acha kunibania basi🤣🤣🤣Kumbe mimi na mjukuu wangu ShesRise_1 tulikuwa na project ya kukaguana halafu hujaniambia?
Tulianzia wapi kwani? Kwamba mimi na mjukuu tuna jambo lipi? Au unataka tufanye jambo🤣🤣Kwani mliishia wapi? Nikasubiri feedback kwa hamuu? Acha kunibania basi🤣🤣🤣
Hebu kanywe chai.Tulianzia wapi kwani? Kwamba mimi na mjukuu tuna jambo lipi? Au unataka tufanye jambo🤣🤣