Siku salama na hatari kwa mwanamke yaani menstruation cycle

Siku salama na hatari kwa mwanamke yaani menstruation cycle

Na kama siku zake zinabadilika maana hazipo stable mfano mwezi huu zinapanda labda siku tatu na mwezi unaofuata xinashuka siku 3 je ni normal hiyo.....hazipo mfano lets say ni siku 28 kamili......zinabadilika badilika kila wakati....kuna msaada wowote au nini kinahitajika.....je ni tatizo hilo au ni normal??
Alichomaanisha hapo in general ni stability ya m.p xo zikishuka iyo ni fupi,zikipanda iyo ni ndefu,den zikibak stable iyo n normal
Op ts clear
 
Hii kitu inakua sahihi kwa wale wenye period zenye kueleweka. Kwa wale zinazobadilikamara siku 28, mara 30 usitegemee saana calenda
 
Hii kitu inakua sahihi kwa wale wenye period zenye kueleweka. Kwa wale zinazobadilikamara siku 28, mara 30 usitegemee saana calenda
lakini siku hatari hazibadiriki ni 11-18 toka siku ya kwanza ya hedhi. hii ni sabu karibu wanawake wote huchukua siku 14 kutengeneza yai.
 
Back
Top Bottom