Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichomaanisha hapo in general ni stability ya m.p xo zikishuka iyo ni fupi,zikipanda iyo ni ndefu,den zikibak stable iyo n normalNa kama siku zake zinabadilika maana hazipo stable mfano mwezi huu zinapanda labda siku tatu na mwezi unaofuata xinashuka siku 3 je ni normal hiyo.....hazipo mfano lets say ni siku 28 kamili......zinabadilika badilika kila wakati....kuna msaada wowote au nini kinahitajika.....je ni tatizo hilo au ni normal??
We kuna demu unataka kumvizia sio bure alafu baadae utasema sio yakoNaomba msaada kuhusu period ya mwanamke je? ntawezaje kujua siku salama na za hatari kwa mwaanamke.
lakini siku hatari hazibadiriki ni 11-18 toka siku ya kwanza ya hedhi. hii ni sabu karibu wanawake wote huchukua siku 14 kutengeneza yai.Hii kitu inakua sahihi kwa wale wenye period zenye kueleweka. Kwa wale zinazobadilikamara siku 28, mara 30 usitegemee saana calenda