Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

Mwanza ipi inayozizima?

Ebu tupia hata picha moja tu ya leo,ili kuthibitisha unachokisema?

Mwanza kila mtu anaendelea na shughuli zake za kila siku,kama una lingine bora ungelisema kuliko huu uongo wa wa mchana!

Ni kama vile mnaweweseka nyinyi wenyewe Chadema!
Video zinakuja
 
Ni wapi Tunakwenda...., Tu - tunakwenda....... ?!!!

Yaani hata humu badala ya kuongelea shida lukuki za mwananchi tunamuongelea marehemu na kutukanana wenyewe kwa wenyewe wakati asali inazidi kulambwa kama Kawaida....

Kweli safari bado ni ndefu....., Bora nijifanye hamnazo sioni wala sisikii hizi ngonjera ni kujipa stress bure tu
 
Yaani ni kama hamjiamini kwamba mmeruhusiwa kufanya mikutano. Na chifu hangaya amewabana pabaya hakuna kuongelea ugumu wa maisha, katiba wala huduma mbovu za kijamii.

Amewatega agenda kubwa iwe machungu ya uongozi wa jiwe ili mjiharibie zaidi kwa jamii. Mbona kazi ipo awamu hii
Nani kakudanganya
 
Mwanza ipi inayozizima?

Ebu tupia hata picha moja tu ya leo,ili kuthibitisha unachokisema?

Mwanza kila mtu anaendelea na shughuli zake za kila siku,kama una lingine bora ungelisema kuliko huu uongo wa wa mchana!

Ni kama vile mnaweweseka nyinyi wenyewe Chadema!
Kishindo mpaka Lamadi ...Lamadi kwa umoja wetu gete gete tuna kuja kuwaunga na kuwapa nguvu Makamanda wetu mliopo mwanza

Hata wewe Mkuu hamasisha mpaka huko KOLOMIJE wajitokeze kwa wingi
 
Mwanza ipi inayozizima?

Ebu tupia hata picha moja tu ya leo,ili kuthibitisha unachokisema?

Mwanza kila mtu anaendelea na shughuli zake za kila siku,kama una lingine bora ungelisema kuliko huu uongo wa wa mchana!

Ni kama vile mnaweweseka nyinyi wenyewe Chadema!
Utakua shoga wewe... jikaze sana maana kwata linalokuja hutoweza hata tembea.
 
aka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivy
 
Yaani ni kama hamjiamini kwamba mmeruhusiwa kufanya mikutano. Na chifu hangaya amewabana pabaya hakuna kuongelea ugumu wa maisha, katiba wala huduma mbovu za kijamii.

Amewatega agenda kubwa iwe machungu ya uongozi wa jiwe ili mjiharibie zaidi kwa jamii. Mbona kazi ipo awamu hii
Endelea kuota
 
Huu ujinga umetoa wapi, aibu sana mwanaume kuongea na kuamini upuuzi ulioandika
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.

View attachment 2486257

Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!

Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.

Mungu ibariki Mwanza.

TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU

Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Ni Kweli,

Vyanzo vyangu vinathibitisha Hilo.

Mungu Ibariki TANZANIA,

Mungu ibariki CDM. Aamen
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.

View attachment 2486257

Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!

Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.

Mungu ibariki Mwanza.

TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU

Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Mungu ibariki CHADEMA
This%20Monday%2C%20the%20head%20of%20the%20Dar%20es%20Salaam%20police_.jpg
 
Back
Top Bottom