Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

Bbabhojage abhiyo ..tole Sesema Selema Selema

Kama hujapitia JKT Huwezi elewa hii Lugha

Wewe ni CHAWA?
FB_IMG_1674056343768.jpg
 
Ni wapi Tunakwenda...., Tu - tunakwenda....... ?!!!

Yaani hata humu badala ya kuongelea shida lukuki za mwananchi tunamuongelea marehemu na kutukanana wenyewe kwa wenyewe wakati asali inazidi kulambwa kama Kawaida....

Kweli safari bado ni ndefu....., Bora nijifanye hamnazo sioni wala sisikii hizi ngonjera ni kujipa stress bure tu
Ni ndefu sana. Sasa sijui wananchi watakula hizo hotuba za wanasiasa
 
EeNg'wanza yelebhelela sana hatari sana watu walikuwa na Kiu sana. Naliona Chopa la Lissu likiambaa ambaa kwenye kingo ya ziwa Nyanza huku likishangiliwa na umati wa watu huku wengine wakiwa juu ya Majabali

Siasa ni Sanyansi chawa viroboto papasi kunguni mjiaandae Kujibu HOJANONDO kutoka upande Makini
Tuliza masaburi huko mliberali wewe. Kumbuka haya yote ni Kwa hisani ya Mh mama Dr Samia Suluhu Hassan the president of the United republic of Tanzania.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.

View attachment 2486257

Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!

Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.

Mungu ibariki Mwanza.

TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU

Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Hadi muuane mwaka huu, sisi wapiga kura tutaangalia sera sahihi za kumaliza kero
 
Yaani ni kama hamjiamini kwamba mmeruhusiwa kufanya mikutano. Na chifu hangaya amewabana pabaya hakuna kuongelea ugumu wa maisha, katiba wala huduma mbovu za kijamii.

Amewatega agenda kubwa iwe machungu ya uongozi wa jiwe ili mjiharibie zaidi kwa jamii. Mbona kazi ipo awamu hii
Wewe ni chawa no. ?
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.

View attachment 2486257

Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!

Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.

Mungu ibariki Mwanza.

TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU

Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Hakuna lolote hapo, kanda ya ziwa hatudanganyiki
 
Siyo "yazizima" ni "yarindima". Neno la kwanza ni simanzi au huzuni wakati la pili ni kinyume chake
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.

View attachment 2486257

Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!

Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.

Mungu ibariki Mwanza.

TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU

Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Hivi Chadema kuna mtu mwenye akili timamu kweli.???
 
Back
Top Bottom