zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Yaani ulitaka Nyerere ndio aandae jezi za timu? Kazi ipo kweli kweli.
Alichukuwa hatua gani baada ya ujinga huo kutokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ulitaka Nyerere ndio aandae jezi za timu? Kazi ipo kweli kweli.
Huo ulikuwa mwaka wa 70, wakati wa Afro 70. Nyerere hapo kisha taifisha mali za watu kwa miaka 3, kila kitu kinaanza kuyumba.
Baba yako alikuwepo?
Ukishindwa kujibu hilo nakuuliza, toka kuzaliwa kwako, umeshaona Mbwa, Paka, Panya na Kunguru wakila pamoja jalalani?
Huo ndio wakati wa Nyerere. Halafu bado watu wanamsifia.