Siku timu ya Taifa ilipocheza vifua wazi

Siku timu ya Taifa ilipocheza vifua wazi

Huo ulikuwa mwaka wa 70, wakati wa Afro 70. Nyerere hapo kisha taifisha mali za watu kwa miaka 3, kila kitu kinaanza kuyumba.

Baba yako alikuwepo?

Ukishindwa kujibu hilo nakuuliza, toka kuzaliwa kwako, umeshaona Mbwa, Paka, Panya na Kunguru wakila pamoja jalalani?

Na Shule za wamissionary ili kila Mtanzania asome.. Au..?
 
Huo ndio wakati wa Nyerere. Halafu bado watu wanamsifia.

karne hii ya ishirini na moja bado Rais akiwa amemaliza kukagua timu zote mbili uwanjani anasubiri nyimbo za Taifa kupigwa kupitia vyombo vya kisasa vya uwanja mpya wataifa...bado CD inagoma kuchezwa !!! Halafu bado watu utawasikia wanamsifia rais aliyepata aibu hiyo hapo hapo uwanjani. Halafu lawama anabebeshwa afisa habari wa TFF. Lawama alitakiwa azibebe yeye kwa kushidwa kuthibiti uingizaji vifaa visivyo na ubora nchini kupitia mamlaka zote "anazoziongoza" kupitia watendaji wa mamlaka hizo.
 
Na Nyerere alikwepo uwanjani akasema hatarudia kuangalia mechi ya taifa stars tena.
 
Back
Top Bottom