mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
So unataka kusema nasisi tujikite kuilaumu serikali kwanini haikuzuia gari isitumbukie majini!!So according to your pea sized brain, kila mtu alikufa pale alikuwa akichota mafuta? Na Serikali ilikuwa wapi kuzuia wizi wa mafuta? Polisi walikuwa wapi wakati huo na mbona walishindwa kudhibiti umati wa watu? Je Kama Haya yote yalitokea Serikali imara ya awamu ya tano ikiwa kwenye Ile slogan ya "hapakazi tu", mbona wakafeli kwa hili? Ni Serikali ya mdomo Ila kwa vitendo Ni zero na Kama sio zero Basi elezea mbona tukio Hilo halikutatuliwa dharura Kama vikosi vyenu vipo tayari?