Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

So according to your pea sized brain, kila mtu alikufa pale alikuwa akichota mafuta? Na Serikali ilikuwa wapi kuzuia wizi wa mafuta? Polisi walikuwa wapi wakati huo na mbona walishindwa kudhibiti umati wa watu? Je Kama Haya yote yalitokea Serikali imara ya awamu ya tano ikiwa kwenye Ile slogan ya "hapakazi tu", mbona wakafeli kwa hili? Ni Serikali ya mdomo Ila kwa vitendo Ni zero na Kama sio zero Basi elezea mbona tukio Hilo halikutatuliwa dharura Kama vikosi vyenu vipo tayari?
So unataka kusema nasisi tujikite kuilaumu serikali kwanini haikuzuia gari isitumbukie majini!!
 
Serikali yenu ilikua wap isizuie maafa ya hii familia? Serikal yenu ilikua wap isizuie maafa ya watu 13 kwa ajali? Accident is an accident huwez zuia mana hujui inatokea saa ngap
So according to your pea sized brain, kila mtu alikufa pale alikuwa akichota mafuta? Na Serikali ilikuwa wapi kuzuia wizi wa mafuta? Polisi walikuwa wapi wakati huo na mbona walishindwa kudhibiti umati wa watu? Je Kama Haya yote yalitokea Serikali imara ya awamu ya tano ikiwa kwenye Ile slogan ya "hapakazi tu", mbona wakafeli kwa hili? Ni Serikali ya mdomo Ila kwa vitendo Ni zero na Kama sio zero Basi elezea mbona tukio Hilo halikutatuliwa dharura Kama vikosi vyenu vipo tayari?
 
Looks like its more complicated lik.JPG
lik.JPG
 
Kwani kenya tank la petrol haijawahi lipuka?!???
 
Kuna mkenya anasema eti hii ni "natural calamity"😂😂😂😂😂😂
Mention his name..
 
Back
Top Bottom