Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

So unataka kusema nasisi tujikite kuilaumu serikali kwanini haikuzuia gari isitumbukie majini!!
 
Serikali yenu ilikua wap isizuie maafa ya hii familia? Serikal yenu ilikua wap isizuie maafa ya watu 13 kwa ajali? Accident is an accident huwez zuia mana hujui inatokea saa ngap
 
Kwani kenya tank la petrol haijawahi lipuka?!???
 
Kuna mkenya anasema eti hii ni "natural calamity"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mention his name..
 
Ndogo you say.Nyie ni worse coz huwa mnaomba wakusini assistance
Niliona kdf na boti wameshika mabunduki majini nikacheka sana ,ukimando feki ni shida nikama sisi wabongo na kingereza chetu cha kuunga unga Mara umekutana na Demu wa kizungu unaanza kumsalimia ,,,good morning teacher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…