Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
I hear their Navy is also there at Mombasa, What an incompetent KDF, Neither divers, Nor Rescue, No Technology



UPDATES
SIKU 9: SHUGHULI ZA KUOPOA MWILI WA MAMA NA MWANAYE KATIKA FERI YA LIKONI ZAENDELEA


Operesheni za kuopoa miili ya Mama na Mwanaye waliozama siku ya Septemba 29, 2019 katika feri ya Likoni zinaendelea kwa vikosi vya Serikali, Sekta binafsi na kutoka Afrika Kusini vikishirikiana

Uwepo wa Vikosi vya wazamiaji wa Afrika Kusini umeongeza nguvu lakini kina cha bahari, vifaa visivyo na ubora pamoja na uonaji usio mzuri ni changamoto kubwa katika uokoaji huo

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Huduma katika Feei hiyo, timu ya wazamiaji kwa sasa itategemea zaidi teknolojia kusaidia kutambua vitu chini ya bahari na upata mwili wa Mariam Kighenda (35) na mwanaye (4)

Mariam na mwanaye wa miaka wamefariki baada gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini l wakati wakivuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Harambee kilipokuwa kinakaribia kuweka nanga kisiwani
 
Ngoja waje kujitetea hapa tuskie wana lipi la kusema...!
 
Watu wako proud na skyscrapers za Muhindi sijui Westlands, wakijivunia picha za gated community zilizojaa foreigners huku ndugu zao weusi wakifa maji hata basic rescuing gear hawana, so sad!

Sad indeed
 
Duh hawana jeshi hawa viumbe?

IMG_9708.JPG
 
Wakenya wengi wamekosa imani na KDF, hasa watu wa pwani, wanatoa matusi na kumuomba Uhuru Kenyatta alivunje KDF na kuunda jeshi jipya.

KDF limeshindwa kuzuia Alshabaab kujipenyeza Kenya na kushambulia wakenya, hadi sasa madaktari toka Cuba hawajapatikana, hili la kushindwa kuzamia hii gari kwa siku ya tatu limethibitisha udhahifu mkubwa wa KDF. Utasikia wakenya wakisifia bajeti kubwa ya KDF, sasa bajeti kubwa inatumikaje jamani?
 
Mv Nyerere kabla rescue team haijafika tayari wananchi wa eneo lille walishaopoa watu wengi sana tena kutokea ndani ya ferry, ina maana hao wakazi wa pembezoni hawajui kupiga mbizi wakati kanda ya ziwa wamama wanapiga mbizi

Kwa unumla wakenya walio Wengi ni Waoga sana wa Maji, naongea kwa Experience.
Tena hata Huwezi Fananisha the incompetent KDF na Wavuvi wetu wa Kigamboni, Ni kama ardhi na Mbingu. Useless kdf
 
Back
Top Bottom