game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
I hear their Navy is also there at Mombasa, What an incompetent KDF, Neither divers, Nor Rescue, No Technology
UPDATES
SIKU 9: SHUGHULI ZA KUOPOA MWILI WA MAMA NA MWANAYE KATIKA FERI YA LIKONI ZAENDELEA
Operesheni za kuopoa miili ya Mama na Mwanaye waliozama siku ya Septemba 29, 2019 katika feri ya Likoni zinaendelea kwa vikosi vya Serikali, Sekta binafsi na kutoka Afrika Kusini vikishirikiana
Uwepo wa Vikosi vya wazamiaji wa Afrika Kusini umeongeza nguvu lakini kina cha bahari, vifaa visivyo na ubora pamoja na uonaji usio mzuri ni changamoto kubwa katika uokoaji huo
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Huduma katika Feei hiyo, timu ya wazamiaji kwa sasa itategemea zaidi teknolojia kusaidia kutambua vitu chini ya bahari na upata mwili wa Mariam Kighenda (35) na mwanaye (4)
Mariam na mwanaye wa miaka wamefariki baada gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini l wakati wakivuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Harambee kilipokuwa kinakaribia kuweka nanga kisiwani