Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa umeandika nini hapa 😂😂😂Ni wapi hivi majuzi tanker ililipuka? Polisi was kule walikuwa wamelala Hadi janga lilipotokea ndio walianza kuhangaika when the worst has already happened. Tusichekane mambo Kama Haya wanapotokea.
Wewe unachekea majanga yanayowapata binadamu? Chunga Sana na umuombe Mola wako usijepatikana na majanga Kama Haya, Hakuna janga nzuri au baya kuliko lingine haswa Kama watu wataaga dunia.Sasa umeandika nini hapa 😂😂😂
Huoni ni vitu viwili tofauti visivyoendana hata kidogo.
Hapo nimecheka majanga au nimecheka utetezi wa kijinga uliouandika hapo juu?Wewe unachekea majanga yanayowapata binadamu? Chunga Sana na umuombe Mola wako usijepatikana na majanga Kama Haya, Hakuna janga nzuri au baya kuliko lingine haswa Kama watu wataaga dunia.
wale "si wahanga"
sijui waswahili mnakosea wapi?
mhanga maana yake mtu anajitolea kifo kwaajili ya manufaa fulani ila si kama mnavyoju
Kdf hawa wazee wa kuiba biscuit westgate na kuuza mkaa kule somalia,pale hamna jeshi vilaza tuWakenya wengi wamekosa imani na KDF, hasa watu wa pwani, wanatoa matusi na kumuomba Uhuru Kenyatta alivunje KDF na kuunda jeshi jipya.
KDF limeshindwa kuzuia Alshabaab kujipenyeza Kenya na kushambulia wakenya, hadi sasa madaktari toka Cuba hawajapatikana, hili la kushindwa kuzamia hii gari kwa siku ya tatu limethibitisha udhahifu mkubwa wa KDF. Utasikia wakenya wakisifia bajeti kubwa ya KDF, sasa bajeti kubwa inatumikaje jamani?
Halafu punguza uwehu mchana huu.Ni wapi hivi majuzi tanker ililipuka? Polisi was kule walikuwa wamelala Hadi janga lilipotokea ndio walianza kuhangaika when the worst has already happened. Tusichekane mambo Kama Haya wanapotokea.
Bro mm sikupitia advance nimepitia diploma natafuta degree.
Na wala sijapitia JKT ila hawa nguru nawanyorosha.
ALL AT ALL YES WALE SIX WALOPITIA JKT WANAWAFILIMBA VZURY TU KDF.
Vivuko vyao havina ata divers kuwaokoa wale watu kabla gar haijazama, mana gar haizami kama jiwe kwenye majiBora sisi wadaku ingekuwa tz huyo mama asingekufa na mtoto wake Nazi ilikuwa ya dakika 3 kuvaa boya na kuchukua boya moja mkononi kisha unajitupa majini hadi kwenye Gari na kampatia mama wa mtoto boya huku unamchukua mtoto ....wakenya wapumbavu sana watu wote wanaume zaidi ya elfu waliokuwepo kwenye kivuko hakuna aliyu Fanya kitu yani nyinyi ni wasengeee original Ila samahanini Kwa kuwatusi maana inauma sana
Kwasababu polisi wenu wanatembea kwenye moto sio? Ule ni moto, tena wa mafuta tena petrol mzee, polisi waliwahi kuwaokoa walokua na majeraha kulikua hakuna njia ya kuwatoa walokua katikati mayb kdf wangewezaNi wapi hivi majuzi tanker ililipuka? Polisi was kule walikuwa wamelala Hadi janga lilipotokea ndio walianza kuhangaika when the worst has already happened. Tusichekane mambo Kama Haya wanapotokea.
Kazi ya polisi nu kuzuia Sasa hapo walishindwa ama hawakuwa makini wakikula rushwa.Kwasababu polisi wenu wanatembea kwenye moto sio? Ule ni moto, tena wa mafuta tena petrol mzee, polisi waliwahi kuwaokoa walokua na majeraha kulikua hakuna njia ya kuwatoa walokua katikati mayb kdf wangeweza
Wanaopita sasa ni..... 😬😬😬Hii tweet imenifanya nicheke sana
Waadhirika???????NI "waadhirika" maana wameadhirika.
mhanga ni shujaa, sijui kama unaelewa broo.
Akiponea anaitwa "Manusura"
Hapana mkyuu ni waathirika.Waadhirika???????
Kazi ya polisi nu kuzuia Sasa hapo walishindwa ama hawakuwa makini wakikula rushwa.
Unazungumzia wezi wa mafuta waliokufa Kwa mlipuko wa tank !!!! Hao tunawaambia waache upumbavu ni kama kdf walio kuwa wanaiba biscuti badala ya kuokoa wakenya west G .sasa kdf kama hao wakifa ni sawa tu walitakiwa wapokonywe siraha Kwa haraka hayo majizi ya kdfNi wapi hivi majuzi tanker ililipuka? Polisi was kule walikuwa wamelala Hadi janga lilipotokea ndio walianza kuhangaika when the worst has already happened. Tusichekane mambo Kama Haya wanapotokea.
So according to your pea sized brain, kila mtu alikufa pale alikuwa akichota mafuta? Na Serikali ilikuwa wapi kuzuia wizi wa mafuta? Polisi walikuwa wapi wakati huo na mbona walishindwa kudhibiti umati wa watu? Je Kama Haya yote yalitokea Serikali imara ya awamu ya tano ikiwa kwenye Ile slogan ya "hapakazi tu", mbona wakafeli kwa hili? Ni Serikali ya mdomo Ila kwa vitendo Ni zero na Kama sio zero Basi elezea mbona tukio Hilo halikutatuliwa dharura Kama vikosi vyenu vipo tayari?Unazungumzia wezi wa mafuta waliokufa Kwa mlipuko wa tank !!!! Hao tunawaambia waache upumbavu ni kama kdf walio kuwa wanaiba biscuti badala ya kuokoa wakenya west G .sasa kdf kama hao wakifa ni sawa tu walitakiwa wapokonywe siraha Kwa haraka hayo majizi ya kdf