BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Naitamani sana siku hii.Ninge pata mmoja wa kuniunga mkono tungeanza na Polisi wa Tanzania asubuhi hiiWatawala wanajua fika kwamba Watanzania ni watu wa mdomoni sana ila sio vitendo na Viburi ikiwemo kufungia makanisa na hata kumuweka Lisu ndani ni kwa sababu kuu 1 tu. Wanajua Wabongo watalalamika sana, watato sana matamko na baada ya hapo life litaendelea tu.
Life itaendelea yes na tutasahau kila kitu.
Hakuna mageuzi yataletwa tukiwa kwenye keybord haitatokea kamwe.
Tunacho kiita uonevu, sijui nini ni kea sababu moja tu, wanajua wana onea watu wa aina gani.
Kuna usemi unasema 'Mbwa ukisha mjua jina lake hakupi shida sana'
Usikute hata polisi, wanajeshi wanasubiri kutuona wananchi tukichukua hatua ili watusapotiHatuna miundo mbinu mkuu
Inawezekana lkn Sio kwa hawa mbna Hamza hakusapotiwaUsikute hata polisi, wanajeshi wanasubiri kutuona wananchi tukichukua hatua ili watusapoti
Wangemsapoti vipi mtu mmoja? Ili wafukuzwe kaziInawezekana lkn Sio kwa hawa mbna Hamza hakusapotiwa
Jichanganye 😅Usikute hata polisi, wanajeshi wanasubiri kutuona wananchi tukichukua hatua ili watusapoti
Tuache watanzania tunajadilianaJichanganye 😅
Mbuyu huanza kama mchicha.Siku tukiacha U Keybord worrior na tuka upply physical worrior ndio siku heshima itakuwepo
Kikwete aliyepiga U Turn kwenye kuandika Katiba mpya ndiye wa kulaaniwa, tatizo la Tanzania siyo la mtu bali mfumo. Katiba inayompa Rais mamlaka ya kuwa Mungu mtu ndiyo inayotutesa. Hii jeuri tunayoishuhudia kwa mtawala inatokana na ulinzi wa kikatiba alionao.Alaaniwe magufuli popote alipo.yy ndye kiini ya haya
Uko sahihi kabisa kwani haya mauza uza tunayofanyiwa na watawala hayachagui mhanga.Usikute hata polisi, wanajeshi wanasubiri kutuona wananchi tukichukua hatua ili watusapoti
Unataka miundombinu gani mkuu?Hatuna miundo mbinu mkuu
Sio kweliAlaaniwe magufuli popote alipo.yy ndye kiini ya haya
Wanawake mkiwezeshwa mnaweza... Ephen nitakuwezesha kwa kukupa rungu uwatoe hawa watu madarakaniWanaume muungane mkinukishe, sisi wanawake tubaki nyumbani kulinda watoto😎