Siku tukiacha U Keybord worrior na tuka upply physical worrior ndio siku heshima itakuwepo

Wakati nikiwa umri wa miaka kuanzia 3 kuna dogo m'moja alinizidi miaka 7 mbele alikuwa anaitwa Samweli tulikuwa tunaishi nae mtaa m'moja.

Yule dogo alikuwa ni bubu. Alikuwa ni swahiba wangu sana kwasababu nilikuwa nampatia sana zawadi ninazoletewa na mshua na muda mwingine nyumbani kukipikwa wali maharage au wali samaki nilikuwa namwita tule sote mara kwa mara.

So samweli kwangu alikuwa kama kaka binamu anaye nikubali sana. Na mimi nilikuwa namuona kama ndugu yangu hata picha nyingi za utoto tulipiga sote.

Jirani kulikuwa na dogo mwingine anaitwa Kimeku, alikuwa ni mkubwa kwangu na kwa samweli. Alikuwa anapenda sana kumuonea samweli kwa kumfanyia ukorofi na vitendo vya kumuudhi ili tu amsikie akilia kwa sauti ya kibubu yeye acheke.

Mimi sikuwa napenda kumuona kimeku anamchokoza samweli na mbaya zaidi nilikuwa nachukia samweli akiwa analia na kutoa sauti bila maneno ya kueleweka akiwa anajitetea huku machoni akiwa anatokwa machozi.

Kimeku alichagua kumuonea samweli kila alipomuona kama mnyonge wake na kila mtu alijua hilo ila kwasababu kimeku alikuwa ni wale watoto mabully alikuwa anaona ni sawa kufanya hivyo as long as hakuna wa kumsimamia kimeku.

Siku moja sikumbuki exactly tarehe wala mwezi ila najua ilikuwa ni miaka ya 1989 kimeku alikuja kibarazani kwetu na kutukuta mimi na samweli na madogo wengine tunacheza.

kimeku alikuja na kama kawaida yake baada ya dakika chache lazima atatafuta sababu ya kumtibua Samweli ili asimame na kupiga biti la kibubu na kutoa maneno yasiyosikika ili yeye acheke kama comedy. Ila siku hii Samweli naona alikuwa amechoka na ameona afanye reaction ya tofauti ili kuonyesha kuwa amechoka kuonewa kila siku na hata hiyo tabia iendelee.

Nakumbuka tu Kimeku alikuwa amepanda pale juu ya kibalaza akiwa amekalia kuta za kibaraza ambazo huwa zinatengenezwa kwa viruva. Akawa anamsukuma samweli kichwa kama style ya kumtia singi huku samweli akijibu kwa kila msukumo na sauti za kibubu ambazo nahisi alikuwa anajaribu kusema sitaki ugomvi.

Ghafla lishangaa samweli amenyanyuka na kumsukuma kimeku ambae aliangukia upande wa pili (nje ya kibaraza) na kuvunjika mkono maana palikuwa juu na yeye alidondokea juu ya tofali zilizowekwa kama kingo za mauwa pembezoni mwa kibaraza.

Kisha Samweli bila kijali alimfuata na kumshika shingo na kuanza kumgongesha kichwa sakafuni (ile milio ya kupigizwa kichwa hadi leo naikumbuka), na kumshambulia kwa ngumi mfululizo hadi pale walipokuja kuamuliwa (sikumbuki exactly nani aliwaamulia ila alikuwa ni mtu mzima mwanaume) tukatawanyishwa.

Aftermath ni kwamba Kimeku mchana ule alipelekwa hospital na kufungwa Hogo. Sijui kilichomkuta Samweli kwao. Ila sikuwahi kudhania Samweli kuwa ana maguvu namna ile na anaweza kumpa mtu majeraha makali hadi kupelekwa hospital.

Nilimtazama kwa jicho la tofauti sana Samweli ingawa tuliendelea kuwa maswahiba ila nilijua tu kuwa mimi nilikuwa naishi naw vizuri ndio maana sikuwahi kumuona na hasira au kumuona akichukia muda tukicheza.

Nimetoa story hii kwasababu andiko lako limenigusa kuhusu eneo la uonevu. Usidharau au kuchukulia kawaida uwezo uliojificha kwa mtu unaemuona ni dhaifu au unaweza kum'mudu.

Mbwa ukishamjua jina hakusumbui kweli ila mbwa ni viumbe loyal na wanaishi vema na wanaowapenda. Ukimtreat vibaya hata kama unamjua jina ipo siku atatafuta namna ya kujitetea na huwa anadhuru pabaya ili akupe adabu usirudie tena.

Watanzania kwasasa wanaweza kuwa ni keyboard fighters ila kila uonevu unavyoongezeka ndipo kiwango cha hasira na kisasi dhidi ya wakorofi nacho kinajaa.

Kuna siku isiyokuwa na jina wala tarehe haita tangazwa,hawa hawa watanzania wapole wataamua kudeal na ukorofi kwa mikono yao bila hata kutumia bunduki wala peni kuongea.

Gaddafi hakujua kuwa hatima yake itakuwa ni chini ya daraja tena barabara ya vumbi akiwa amezungukwa na watu wasiompenda na waliokuwa kila siku wanajiapiza kuwa ipo siku watamnyoosha. Wakampiga kama mwizi wa simu kariakoo kisha wakaujaza mwili wake na matundu ya risasi. Imagine huyu ni mtu ambaye alikuwa analindwa na majeshi na askari saa 24 za kila siku ya mwaka.

Hiyo siku inaweza kutokea hata Tanzania. Hata. Ningekuwa ni mimi, ningekuwa na hofu kuwa na kiburi kwa pesa za lawama ambazo napata kupitia machozi,malalamiko na jasho la wasio na furaha na inchi yao,nisingelala usingizi mzuri.

Kwa mimi binafsi ningeachia tu wengine waendelee ningelinda utu wangu na heshima yangu kwanza ila sio kuwajibu na kuwatishia kuwa hawana cha kunifanya.
Huu ulitakiwa kuwa uzi, futa upandishe km uzi member wengi waone una kitu..!!
 
Kwani wewe sio mwanaume
JIongeze..siku watakayoandamana wanaume ..mke wangu atashangaa wanawake wameongezeka ndani ya nyumba...nipige zangu abaya ama kijora cha mombasa..na marashi ya mousoff
 
Ccm watatutawala sana tu kwa staili hii hahaha
 
Na wenye solution zinazofaa wako kimya..maana huwezi kuingia field huku uko na bukta lako tu
.utaumia...we ushawahi kusikia south Africa kuna ujinga wa hivi..??
 
Wakati nikiwa umri wa miaka kuanzia 3 kuna dogo m'moja alinizidi miaka 7 mbele alikuwa anaitwa Samweli tulikuwa tunaishi nae mtaa m'moja.

Yule dogo alikuwa ni bubu. Alikuwa ni swahiba wangu sana kwasababu nilikuwa nampatia sana zawadi ninazoletewa na mshua na muda mwingine nyumbani kukipikwa wali maharage au wali samaki nilikuwa namwita tule sote mara kwa mara.

So samweli kwangu alikuwa kama kaka binamu anaye nikubali sana. Na mimi nilikuwa namuona kama ndugu yangu hata picha nyingi za utoto tulipiga sote.

Jirani kulikuwa na dogo mwingine anaitwa Kimeku, alikuwa ni mkubwa kwangu na kwa samweli. Alikuwa anapenda sana kumuonea samweli kwa kumfanyia ukorofi na vitendo vya kumuudhi ili tu amsikie akilia kwa sauti ya kibubu yeye acheke.

Mimi sikuwa napenda kumuona kimeku anamchokoza samweli na mbaya zaidi nilikuwa nachukia samweli akiwa analia na kutoa sauti bila maneno ya kueleweka akiwa anajitetea huku machoni akiwa anatokwa machozi.

Kimeku alichagua kumuonea samweli kila alipomuona kama mnyonge wake na kila mtu alijua hilo ila kwasababu kimeku alikuwa ni wale watoto mabully alikuwa anaona ni sawa kufanya hivyo as long as hakuna wa kumsimamia kimeku.

Siku moja sikumbuki exactly tarehe wala mwezi ila najua ilikuwa ni miaka ya 1989 kimeku alikuja kibarazani kwetu na kutukuta mimi na samweli na madogo wengine tunacheza.

kimeku alikuja na kama kawaida yake baada ya dakika chache lazima atatafuta sababu ya kumtibua Samweli ili asimame na kupiga biti la kibubu na kutoa maneno yasiyosikika ili yeye acheke kama comedy. Ila siku hii Samweli naona alikuwa amechoka na ameona afanye reaction ya tofauti ili kuonyesha kuwa amechoka kuonewa kila siku na hata hiyo tabia iendelee.

Nakumbuka tu Kimeku alikuwa amepanda pale juu ya kibalaza akiwa amekalia kuta za kibaraza ambazo huwa zinatengenezwa kwa viruva. Akawa anamsukuma samweli kichwa kama style ya kumtia singi huku samweli akijibu kwa kila msukumo na sauti za kibubu ambazo nahisi alikuwa anajaribu kusema sitaki ugomvi.

Ghafla lishangaa samweli amenyanyuka na kumsukuma kimeku ambae aliangukia upande wa pili (nje ya kibaraza) na kuvunjika mkono maana palikuwa juu na yeye alidondokea juu ya tofali zilizowekwa kama kingo za mauwa pembezoni mwa kibaraza.

Kisha Samweli bila kijali alimfuata na kumshika shingo na kuanza kumgongesha kichwa sakafuni (ile milio ya kupigizwa kichwa hadi leo naikumbuka), na kumshambulia kwa ngumi mfululizo hadi pale walipokuja kuamuliwa (sikumbuki exactly nani aliwaamulia ila alikuwa ni mtu mzima mwanaume) tukatawanyishwa.

Aftermath ni kwamba Kimeku mchana ule alipelekwa hospital na kufungwa Hogo. Sijui kilichomkuta Samweli kwao. Ila sikuwahi kudhania Samweli kuwa ana maguvu namna ile na anaweza kumpa mtu majeraha makali hadi kupelekwa hospital.

Nilimtazama kwa jicho la tofauti sana Samweli ingawa tuliendelea kuwa maswahiba ila nilijua tu kuwa mimi nilikuwa naishi naw vizuri ndio maana sikuwahi kumuona na hasira au kumuona akichukia muda tukicheza.

Nimetoa story hii kwasababu andiko lako limenigusa kuhusu eneo la uonevu. Usidharau au kuchukulia kawaida uwezo uliojificha kwa mtu unaemuona ni dhaifu au unaweza kum'mudu.

Mbwa ukishamjua jina hakusumbui kweli ila mbwa ni viumbe loyal na wanaishi vema na wanaowapenda. Ukimtreat vibaya hata kama unamjua jina ipo siku atatafuta namna ya kujitetea na huwa anadhuru pabaya ili akupe adabu usirudie tena.

Watanzania kwasasa wanaweza kuwa ni keyboard fighters ila kila uonevu unavyoongezeka ndipo kiwango cha hasira na kisasi dhidi ya wakorofi nacho kinajaa.

Kuna siku isiyokuwa na jina wala tarehe haita tangazwa,hawa hawa watanzania wapole wataamua kudeal na ukorofi kwa mikono yao bila hata kutumia bunduki wala peni kuongea.

Gaddafi hakujua kuwa hatima yake itakuwa ni chini ya daraja tena barabara ya vumbi akiwa amezungukwa na watu wasiompenda na waliokuwa kila siku wanajiapiza kuwa ipo siku watamnyoosha. Wakampiga kama mwizi wa simu kariakoo kisha wakaujaza mwili wake na matundu ya risasi. Imagine huyu ni mtu ambaye alikuwa analindwa na majeshi na askari saa 24 za kila siku ya mwaka.

Hiyo siku inaweza kutokea hata Tanzania. Hata. Ningekuwa ni mimi, ningekuwa na hofu kuwa na kiburi kwa pesa za lawama ambazo napata kupitia machozi,malalamiko na jasho la wasio na furaha na inchi yao,nisingelala usingizi mzuri.

Kwa mimi binafsi ningeachia tu wengine waendelee ningelinda utu wangu na heshima yangu kwanza ila sio kuwajibu na kuwatishia kuwa hawana cha kunifanya.
Stori yako ina uzito kuliko mfano uliotoa

Kuna siku sikumbuki Niliwahi komenti kwamba natural ina mtindo wake wa pekee kutisha watukutu

Na nikasema muogope mtu anayeonekana fala, kwa nini.?

Wewe uwepo wako karibu na fala ni jibu tosha kabla ya malaika kukuambia

Ma fala mengi ni mabando ya makasiriko ya kuzimu siku ukifungua malango ndio utajua haujui wewe na kizazi chako cha nne
 
Watawala wanajua fika kwamba Watanzania ni watu wa mdomoni sana ila sio vitendo na Viburi ikiwemo kufungia makanisa na hata kumuweka Lisu ndani ni kwa sababu kuu 1 tu. Wanajua Wabongo watalalamika sana, watato sana matamko na baada ya hapo life litaendelea tu.

Life itaendelea yes na tutasahau kila kitu.

Hakuna mageuzi yataletwa tukiwa kwenye keybord haitatokea kamwe.

Tunacho kiita uonevu, sijui nini ni kea sababu moja tu, wanajua wana onea watu wa aina gani.

Kuna usemi unasema 'Mbwa ukisha mjua jina lake hakupi shida sana'
Uko sahihi. Huyu mwana mama Angela Kiziga katajwa kwenye ufisadi mkubwa sana lakini ndiyo kwanzaa bado yuko pembeni mwa rais. Mange kasema mkuu wa usalama anaporomosha nyumba kama hana akili nzuri. Abdul naye. Wangekuwa hawatudharau wasingethubutu kufanya hivyo kwa sababu wangejiuliza hata kama wakivuka 2025, 2030 hizo mali zitakuwa salama? Ina maana wameshajihakikishia hata beyond 2030 wako salama. Na katiba mpya itakuja mbovu kuliko hii kama walivyofanya kwenye tume ya uchaguzi kwa kuongeza neno ''huru'' na kuweka sheria mbovu kuliko zile zilizokuwepo.
 
Watawala wanajua fika kwamba Watanzania ni watu wa mdomoni sana ila sio vitendo na Viburi ikiwemo kufungia makanisa na hata kumuweka Lisu ndani ni kwa sababu kuu 1 tu. Wanajua Wabongo watalalamika sana, watato sana matamko na baada ya hapo life litaendelea tu.

Life itaendelea yes na tutasahau kila kitu.

Hakuna mageuzi yataletwa tukiwa kwenye keybord haitatokea kamwe.

Tunacho kiita uonevu, sijui nini ni kea sababu moja tu, wanajua wana onea watu wa aina gani.

Kuna usemi unasema 'Mbwa ukisha mjua jina lake hakupi shida sana'
Hapo humpati mtu. Watakwambia Mungu Mkubwa atatenda tu ila sio wao! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom