Siku tukiacha U Keybord worrior na tuka upply physical worrior ndio siku heshima itakuwepo

Huu ulitakiwa kuwa uzi, futa upandishe km uzi member wengi waone una kitu..!!
 
Kwani wewe sio mwanaume
JIongeze..siku watakayoandamana wanaume ..mke wangu atashangaa wanawake wameongezeka ndani ya nyumba...nipige zangu abaya ama kijora cha mombasa..na marashi ya mousoff
 
JIongeze..siku watakayoandamana wanaume ..mke wangu atashangaa wanawake wameongezeka ndani ya nyumba...nipige zangu abaya ama kijora cha mombasa..na marashi ya mousoff
Ccm watatutawala sana tu kwa staili hii hahaha
 
Ccm watatutawala sana tu kwa staili hii hahaha
Na wenye solution zinazofaa wako kimya..maana huwezi kuingia field huku uko na bukta lako tu
.utaumia...we ushawahi kusikia south Africa kuna ujinga wa hivi..??
 
Stori yako ina uzito kuliko mfano uliotoa

Kuna siku sikumbuki Niliwahi komenti kwamba natural ina mtindo wake wa pekee kutisha watukutu

Na nikasema muogope mtu anayeonekana fala, kwa nini.?

Wewe uwepo wako karibu na fala ni jibu tosha kabla ya malaika kukuambia

Ma fala mengi ni mabando ya makasiriko ya kuzimu siku ukifungua malango ndio utajua haujui wewe na kizazi chako cha nne
 
Uko sahihi. Huyu mwana mama Angela Kiziga katajwa kwenye ufisadi mkubwa sana lakini ndiyo kwanzaa bado yuko pembeni mwa rais. Mange kasema mkuu wa usalama anaporomosha nyumba kama hana akili nzuri. Abdul naye. Wangekuwa hawatudharau wasingethubutu kufanya hivyo kwa sababu wangejiuliza hata kama wakivuka 2025, 2030 hizo mali zitakuwa salama? Ina maana wameshajihakikishia hata beyond 2030 wako salama. Na katiba mpya itakuja mbovu kuliko hii kama walivyofanya kwenye tume ya uchaguzi kwa kuongeza neno ''huru'' na kuweka sheria mbovu kuliko zile zilizokuwepo.
 
Hapo humpati mtu. Watakwambia Mungu Mkubwa atatenda tu ila sio wao! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…