Umempatia kweli huyu mbwakokoWe mbwa msimu ulipita 2020-20121 simba ilichukua ubingwa barbra akiwa CEO
Kakojoe ulale
Badala ya kupigwa mawe upigwe miti tu itapendeza zaidiHuyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa
Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani tu(una fitna zake pia)
Au mniite mbwa na mnipige mawe
Kama huyu mwanamke atabaki Simba,nina uhakika Simba ndio imefikia mwisho wake.Huyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa
Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani tu(una fitna zake pia)
Au mniite mbwa na mnipige mawe
Kolo fcKwa hiyo tuanze mapema kuwaita mbwa fc! Badala ya mbumbumbu fc, mapaka fc, boxer fc, Mudi fc, Juju Fc, Bombay fc, nk! Au!!!!!
Mleta mada hii ni nyani mwenzako toka pori la UtopoloKwa hiyo tuanze mapema kuwaita mbwa fc! Badala ya mbumbumbu fc, mapaka fc, boxer fc, Mudi fc, Juju Fc, Bombay fc, nk! Au!!!!!
Kwa hiyo tuanze mapema kuwaita mbwa fc! Badala ya mbumbumbu fc, mapaka fc, boxer fc, Mudi fc, Juju Fc, Bombay fc, nk! Au!!!!!
Mbwa ni jina lililotukuka aliowaita legendary mwenyew mbelgiji luc eymael july 2020Kwa hiyo tuanze mapema kuwaita mbwa fc! Badala ya mbumbumbu fc, mapaka fc, boxer fc, Mudi fc, Juju Fc, Bombay fc, nk! Au!!!!!
Lakini Morison si amebaki Simba Sc mkuu?Kama huyu mwanamke atabaki Simba,nina uhakika Simba ndio imefikia mwisho wake.
Hutaona Simba wanacheza kwa morali tena.Nimegundua huyu ni mwanamke anayeharibu kabisa timu.
Nimesikitishwa kwa kitendo chake cha kuwazuia watu wa media wa Simba kumpost Morrison siku ya birthday yake.
Hii maana yake alikuwa na chuki naye.Hizi chuki za kike ni hatari sana.Kama Mo ana penda haya mambo,yataigharimu sana timu.Maana unaleta ubaguzi na kuwagawa wachezaji kwa vitu vidogo.
Ndio maana wachezaji wa Simba hawakuwa wanacheza kwa morali.
Nimesoma nimeona kinyaa aisee!!unakuta wewe ni mtu mzima na akili zako!!ndio maana nchi hii ni maskini wa kutupwa,sijui kama hata nyumbani kwenu mmejenga choo?!Huu uzi wangu kuna siku mtarud kuutafuta trust me
Babra anaipeleka Simba shimon naona mnapiga kelele na ule msimu ambao alikabidhiwa timu katikati akapokea kijit cha mafanikio ya try again [emoji23][emoji23] huu msimu ulippita ndo msimu wake unaona kilichotokea
Now ana huu tunaoenda kuanza hatak kusajir anabalance vitabu kweli team za kariakoo unaweza balance vitabu?[emoji23][emoji23] subir mtaona nyie ndo mtakuwa watu wa kwanza kumpiga Babra mawe
Ukweli ni kuwa Babra hatufai
Kwanza ni kibaraka wa Mo
Pili anafata sana principle(kubalance hesabu wakat team za kkoo haiwezekani)
Tatu hajui kugawanya majukum kila kitu anataka kufanya yeye
Nne ana chuki na kila mtu anayemwelekeza au kushaur
Time wil tell
Nchi yetu ina wajinga wengi huyo mtoa post ana shida binafsi kichwani bila shakaWe mbwa msimu ulipita 2020-20121 simba ilichukua ubingwa barbra akiwa CEO
Kakojoe ulale