Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Wangecheza kwa Morali wangepata mafanikio yapi msimu huu?Kama huyu mwanamke atabaki Simba,nina uhakika Simba ndio imefikia mwisho wake.
Hutaona Simba wanacheza kwa morali tena.Nimegundua huyu ni mwanamke anayeharibu kabisa timu.
Nimesikitishwa kwa kitendo chake cha kuwazuia watu wa media wa Simba kumpost Morrison siku ya birthday yake.
Hii maana yake alikuwa na chuki naye.Hizi chuki za kike ni hatari sana.Kama Mo ana penda haya mambo,yataigharimu sana timu.Maana unaleta ubaguzi na kuwagawa wachezaji kwa vitu vidogo.
Ndio maana wachezaji wa Simba hawakuwa wanacheza kwa morali.
Je,Arsenal hawachezi kwa morali ndiyo maana miaka kibao hawajatwaa taji la ligi kuu Ya Uingereza?