Siku tukifanikiwa chini ya Barbara

Siku tukifanikiwa chini ya Barbara

Kama huyu mwanamke atabaki Simba,nina uhakika Simba ndio imefikia mwisho wake.

Hutaona Simba wanacheza kwa morali tena.Nimegundua huyu ni mwanamke anayeharibu kabisa timu.
Nimesikitishwa kwa kitendo chake cha kuwazuia watu wa media wa Simba kumpost Morrison siku ya birthday yake.

Hii maana yake alikuwa na chuki naye.Hizi chuki za kike ni hatari sana.Kama Mo ana penda haya mambo,yataigharimu sana timu.Maana unaleta ubaguzi na kuwagawa wachezaji kwa vitu vidogo.
Ndio maana wachezaji wa Simba hawakuwa wanacheza kwa morali.
Wangecheza kwa Morali wangepata mafanikio yapi msimu huu?

Je,Arsenal hawachezi kwa morali ndiyo maana miaka kibao hawajatwaa taji la ligi kuu Ya Uingereza?
 
Nina uhakika mashabiki wengi wa Simba tutajitoa iwapo huyu mama ataendelea.

Mimi ni mmoja wao.Sina matumaini tena kwa sasa kuwa Simba itafanya vuzuri chini ya huyu mama.

Alimfitini Senzo,akamchukia Mkude,amemchukia Morrison,amemkera Chama...huenda kesho akaanzisha bifu na mchezaji mwingine.
Siamini kama wachezaji watacheza kwa morali.
Makocha kibao wameondoka chini yake.Anabania pesa ya usajili ili amfurahishe boss wake na sio mashabiki.
Sisi tunabaki kusapoti timu,yeye anawaza mapenzi mema na boss wake.
Sioni kama anajali matokeo ya Simba.Sioni kama ana wivu na Club.
Kwa hiyo Simba makocha huwa wanakaa milele , Je ,Kabla hajaingia katika utawala Simba haikuwahi kufukuza makocha?
 
Huu uzi wangu kuna siku mtarud kuutafuta trust me

Babra anaipeleka Simba shimon naona mnapiga kelele na ule msimu ambao alikabidhiwa timu katikati akapokea kijit cha mafanikio ya try again [emoji23][emoji23] huu msimu ulippita ndo msimu wake unaona kilichotokea
Now ana huu tunaoenda kuanza hatak kusajir anabalance vitabu kweli team za kariakoo unaweza balance vitabu?[emoji23][emoji23] subir mtaona nyie ndo mtakuwa watu wa kwanza kumpiga Babra mawe

Ukweli ni kuwa Babra hatufai
Kwanza ni kibaraka wa Mo
Pili anafata sana principle(kubalance hesabu wakat team za kkoo haiwezekani)
Tatu hajui kugawanya majukum kila kitu anataka kufanya yeye
Nne ana chuki na kila mtu anayemwelekeza au kushaur

Time wil tell
Akina Sakho uliwasajili wewe? Afu tueleze kubalance vitabu kuna ubaya gani mbona wazungu wana sheria kabisa ya kubalance vitabu la sivyo unapigwa pin kusajili na faini juu ikibidi?

Timu inatakiwa ijiendeshe kwa faida sio kisadakasadaka
 
Machoko kila siku mnaongezeka
Huyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa

Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani tu(una fitna zake pia)

Au mniite mbwa na mnipige mawe
 
Nina uhakika mashabiki wengi wa Simba tutajitoa iwapo huyu mama ataendelea.

Mimi ni mmoja wao.Sina matumaini tena kwa sasa kuwa Simba itafanya vuzuri chini ya huyu mama.

Alimfitini Senzo,akamchukia Mkude,amemchukia Morrison,amemkera Chama...huenda kesho akaanzisha bifu na mchezaji mwingine.
Siamini kama wachezaji watacheza kwa morali.
Makocha kibao wameondoka chini yake.Anabania pesa ya usajili ili amfurahishe boss wake na sio mashabiki.
Sisi tunabaki kusapoti timu,yeye anawaza mapenzi mema na boss wake.
Sioni kama anajali matokeo ya Simba.Sioni kama ana wivu na Club.
Changia pesa za usajiri, mbna milango iko wazi, pesa ya Mo budget upange wee inahusu? Chukua? Pesa zako peleka pale waambie wafanye usajiri afu uone. Mxiiiiieeeewwww
 
Back
Top Bottom