Siku tukifanikiwa chini ya Barbara

Wangecheza kwa Morali wangepata mafanikio yapi msimu huu?

Je,Arsenal hawachezi kwa morali ndiyo maana miaka kibao hawajatwaa taji la ligi kuu Ya Uingereza?
 
Kwa hiyo Simba makocha huwa wanakaa milele , Je ,Kabla hajaingia katika utawala Simba haikuwahi kufukuza makocha?
 
Akina Sakho uliwasajili wewe? Afu tueleze kubalance vitabu kuna ubaya gani mbona wazungu wana sheria kabisa ya kubalance vitabu la sivyo unapigwa pin kusajili na faini juu ikibidi?

Timu inatakiwa ijiendeshe kwa faida sio kisadakasadaka
 
Machoko kila siku mnaongezeka
Huyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa

Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani tu(una fitna zake pia)

Au mniite mbwa na mnipige mawe
 
Changia pesa za usajiri, mbna milango iko wazi, pesa ya Mo budget upange wee inahusu? Chukua? Pesa zako peleka pale waambie wafanye usajiri afu uone. Mxiiiiieeeewwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…