Siku ukiwa makaburini usije kamwe kanyanga juu ya kaburi Jingine Why sababu biashara zako zitakufa

Huu ni uongo .....
Ushaona watu wanachimba kaburi? Kaburi jipya libachimbwa na lingine la zamani liko pembeni ... linakanyagwa kama kawaida!

Ama ile mida mpo mnazika, watu wamejaa wengi, kaburi zilizopo hapo karibu mbona zinakanywagwa fresh tu na watu wanaendelea na mambo yao ya uzalishaji kama biashara ? Watu wanakaa, wanakanyaga fresh tu
 
Wale wanajua wanacho kifanya na wanajua nn wafanye wakilud majumban kwao ww kalaga baho
 
Back
Top Bottom