Pole uzi wangu wa kwanza ulipata wachangia sijui wawili vileMm mpaka Leo siwezi kuandika uzi, niliwah jaribu siku 1 ila sikujua hata nilichoandika na ndoma nkiwa na idea fulan/Uzi natumia Uzi wa mtu kweny comment pale naanzishia uzi
Kama ndio huo kweli ulitumia mazaa kadhaa kuuanda
Alaf wadau hawakuuona kabsaKama ndio huo kweli ulitumia mazaa kadhaa kuuanda
Sema kweli kabla ya kuweka uzi ilibidi ujipange nimeona mwaka umepost, mana jf kipindi hicho haikua ya mchezo mchezoWa kwanza ulikuwa na content ya kuhusu shule ya english medium kitu ka hicho
Yaah! wadau walipita hivi labda kwasababu mwana ndio alikua member mpya unajua humu ndani wakati mwingine huwa kuna zile za kujuanaAlaf wadau hawakuuona kabsa
Mada ya new member inachangiwa na wageni wenzakeYaah! wadau walipita hivi labda kwasababu mwana ndio alikua member mpya unajua humu ndani wakati mwingine huwa kuna zile za kujuana
Sasa sijui ilikuaje tu au itakua alipost siku ambayo kulikua na uzi mwingine ambao ulikua hot zaidiMada ya new member inachangiwa na wageni wenzake
Haka kaugonjwa kapo siku hizi Mkuu kipindi cha nyuma hakakuwepo.Mada ya new member inachangiwa na wageni wenzake
Duuh! Pole sana rafiki.Mara ya kuandika uzi ilikua mihemko ya mapenzi faken bullshit. Mi comment za watu humu zilikua zinanichefua vibaya mno. Lakini na mimi nikaanza sasa kuwajibu ovyo kwenye thread nyingine. Daah nilikuja kubadilika baadae nilipoona ni ujinga kubishana bila hoja. Toka siku hiyo kama sina hoja nakaa kimya.
Ahsante rafiki. Yaan JF imenibadilisha sana. Ni darasa zuri sana.Duuh! Pole sana rafiki.
Ngoja niuangaliePole uzi wangu wa kwanza ulipata wachangia sijui wawili vile
Kweli kabisa rafiki.Ahsante rafiki. Yaan JF imenibadilisha sana. Ni darasa zuri sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] Ngoja tukauangalie huo izi wako