kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,572
Kwa nilikuwa nawaza niandike kwa lugha ipi ??niliandika kiingereza nikafuta nikawaza niandike kwa kiswahili kuna yule dada anakosoaga..ila hatimaye nilitumia lugha yetu pendwa ya kiswahili
Ilinichukua zaidi ya masaa kadhaa kuandaa uzi wangu wa kwanza humu jf..Baada ya kuandika na kupost basi kila baada ya dk kadhaa naangalia umechangiwaje??
Niliteseka sana .
Hebu tushare changamoto zetu tulizokumbana nazo wakati wa kuandaa uzi humu.