Siku uliyoanzisha Uzi jf ulijisikiaje??

Siku uliyoanzisha Uzi jf ulijisikiaje??

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Kwa nilikuwa nawaza niandike kwa lugha ipi ??niliandika kiingereza nikafuta nikawaza niandike kwa kiswahili kuna yule dada anakosoaga..ila hatimaye nilitumia lugha yetu pendwa ya kiswahili

Ilinichukua zaidi ya masaa kadhaa kuandaa uzi wangu wa kwanza humu jf..Baada ya kuandika na kupost basi kila baada ya dk kadhaa naangalia umechangiwaje??

Niliteseka sana .

Hebu tushare changamoto zetu tulizokumbana nazo wakati wa kuandaa uzi humu.
 
Mm mpaka Leo siwezi kuandika uzi, niliwah jaribu siku 1 ila sikujua hata nilichoandika na ndoma nkiwa na idea fulan/Uzi natumia Uzi wa mtu kweny comment pale naanzishia uzi
 
Mm mpaka Leo siwezi kuandika uzi, niliwah jaribu siku 1 ila sikujua hata nilichoandika na ndoma nkiwa na idea fulan/Uzi natumia Uzi wa mtu kweny comment pale naanzishia uzi
Pole uzi wangu wa kwanza ulipata wachangia sijui wawili vile
 
Mara ya kuandika uzi ilikua mihemko ya mapenzi faken bullshit. Mi comment za watu humu zilikua zinanichefua vibaya mno. Lakini na mimi nikaanza sasa kuwajibu ovyo kwenye thread nyingine. Daah nilikuja kubadilika baadae nilipoona ni ujinga kubishana bila hoja. Toka siku hiyo kama sina hoja nakaa kimya.
 
Duuh! Pole sana rafiki.
 
daaaah mkuu kama ulikuwa in my mind yan!!! siku ya kwanza kuandika uzi huku ilikuwa full mawazo...
 
Back
Top Bottom