Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

ni wazo zuri ila tunaomba utufadhili ambao hatuna hivyo ulivyotaja mkuu

vipi lini tuanze kusugua gaga na kufua vikanzu maana tunakodoa sikio wazii kama sikio la panya.
 
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani

Hii mipango mingine ya ku-expose wana-JF ili kuua "uhuru wa kujieleza" sio mizuri kwa demokrasia inayosaidiwa na social media.

Wana-JF ndio baadhi ya unaowaona kwenye physical world. Kwanza umejuaje kama wote ni welloff? Halafu ukishajua hali zao inakusaidia nini katika maisha yako?

Kwenye hiyo 'get together' mtakutana wenyewe wenye hiyo mission ya kuua 'uhuru wa kujieleza'.
 
tehe tehe tehe nahisi zote tu
Nikimuonaga live, najisemeaga kimoyomoyo, ungejua mimi ni mmoja wapo wa wanaokuchamba jf ungenikata mabuti ya kufa mtu
Nyuuuu wewe[emoji23] [emoji23]
 
Watu kila Siku mnajisifu kua mna mpungu wa kutosha.. Ila kila siku graduates tunaomba kazi hamtupi mnatuambia tujiajiri tutajiajiri vipi hatuna Hata mia!

Madon wa humu ndan nyie money makers tuajirini Hata miezi 6 tupate mtaji tukajiajir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…