Labda wewe ndio unafake life..
Mbona JF ndio wa kwanza kulalamika vyuma vinakaza..
Mbona kuna wadau wanatoa story za nyumba za kupanga..
Kuna hadi madogo wanaomba notce za form 5...
Kuna watu wanatangaza kuuza kuku humu..
Usitake kuwasingizia wadau mkuu
Atamjuaje?.hiyo party si tutatunguliwa juu juu maana kama kina Le supa babies u know ana hamu na kina naniliiiii sana tu
HahahhaaaaMkata nyace niko hapa
Happy New Month Darling Putin,.Leo ni tarehe 1/3/2018 saa 00:05 .
[emoji23] .
ataoteaAtamjuaje?.
Walikuwa wanajitambulisha na majina ya acc zao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu Utakutana Na Sura Ngumu Mpaka ushangae Utakuta Watu Wana Maisha Ya Chini Balaa....Niliwahi Kwenda kwenye Instagram Party Moja Yaani Watu wenye Acc Zao Kubwa Insta nikikutana Nao Wanavyochambaga watu Sikuamini kama ni waoo Ngozi Zao Sasa Kama Ndizi Za Kuchomaaaa Yaani Wana Maisha Ya Ajbu Hatareeeee[emoji23][emoji6]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app