Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Navuta picha jinsi nitakavyokukimbiaa....

Ni ile nduki ambayo utaona vumbi tu ila hutoniona mimi
Wewe jishaue tu yan ukiniona mm unazimia kabisaa muulize Dj alivyokuwa anatetemeka kunishika hata mkono
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kuanzia leo naacha tunguli ili unifollow mpaka huku
Nataman siku nikutane na ww nikuvue hiyo miwan yawezekana macho yako yana mwanga kama macho ya paka
 
Mzee interviews zimeishia wp?, nielekeze mbinu ulizokuwa unatumia kuwapata, nammi nataka nianze kuwahost aisee
 
Jiwe kizani loh.. Atakuja tu na atajulikana tu

Kuna party za JF ziliandaliwa na baadhi ya members wa MMU sikuwahi kwenda hata moja, sijui kwanini..... mjumuiko wa watu 2-5 na mimi nikiwemo nakuja ila kama kwenye harusi watu 300 au 500..... ntatokomea kusikojulikana.

Ile kakitu usihofu nayo, amini iko siku tuu maana tarehe 2 mwaka huu niliweka nia naamini itatimia tuu.

Kiochedi.
Hehehehehehe in kasie voice

Kasie
@Darby
Asprin
Joseverest
Emmyta
Sakayo
Shunie
Mahondaw
Behaviourst

kisu cha ngariba


Ladies & gentleman munaitwa

Hehehehee umenifikirisha..... ulishawahi isikia sauti ya Kasie?
 
Mzee interviews zimeishia wp?, nielekeze mbinu ulizokuwa unatumia kuwapata, nammi nataka nianze kuwahost aisee
Mkuu weka avatar kama hiyo kwangu[emoji57]
 
Mwambie huyo Mwifwa eti anajiandaa kunikimbia mm ndo nitamkimbia nasema ngoja nianze mazoez maana nahisi anafanan na king crazy gk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila usinikimbie maana siku ile nusura utimue maana Mimi homorapa anasubiri
 
[emoji4] babu alinisimulia
 
mmmh jaman mbona wengine sisi humu ni mahousegirl tu tunaishi maisha ya tabu na tunaishi kwa mlo mmoja wa mihogo na maji, naishi nitakavyo cwez kuact maisha,wanaoact maisha ya juu ndo hao wataogopa kuonana na watu wengine wa jf. ujidai unaishi ghorofani wakati unaishi nyumba ya tembe![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji126] [emoji126]
 
Mkuu mbona tupo tusio na magari wala mishahara mizuri na hatujasoma utafiti wako sio wa sawa
 
Kumbe ndo zake eeeh.... basi namfungia vioo kuanzia sasa.
Aaaah ex bibi alikuwa anakusifia ....
Ilikuwa hivi siku tunasikiliza nyimbo za Celine Dion ......ukaimba wimbo wa power of love akanambia mjukuu kuwa uyakuyate , nikwamwambia kwanini babu unasema hivyo akanambia huu wimbo unanikumbusha enzi zangu na bibi yako kabla hatujaachana. Yani anasauti kama huyu huyu mwimbaji [emoji4] [emoji4]

Nikamuuliza ulikuwa unampenda akanambia Sana mjukuu Wangu mpaka sasa hivi bado nampenda!! Mbona sasa umemuaacha??

Nikatolewa nduki[emoji12] [emoji12]
Daby
 
Uwe hausi girl wewe naweka dau
 
Sipati picha ntakavokimbia uwii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Na Yale matege uwiii na ile midomo ya diamond na Yale macho ka nyanya chungu sura sasa ka imekamuliwa ndimu komavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…