Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Wewe jishaue tu yan ukiniona mm unazimia kabisaa muulize Dj alivyokuwa anatetemeka kunishika hata mkonoNavuta picha jinsi nitakavyokukimbiaa....
Ni ile nduki ambayo utaona vumbi tu ila hutoniona mimi